Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
IMG_20220811_002104.jpg
 
Huyu mzee hata asiposhinda wamuachie aongoze hata muhula 1 tyuuh. Aridhike na yeye. Kwa upinzani huo wa kura, hata akishindwaa wampe jaman.

Naumia mie, lol
Wewee hunishindi mimi nitaumia sn akishindwa, na this time ndo itakuwa mwisho wake wa kugombe,apate tu jamani uwiii
 
Wewee hunishindi mimi nitaumia sn akishindwa, na this time ndo itakuwa mwisho wake wa kugombe,apate tu jamani uwiii
Yaan mchana hadi nimelia, kisa naona Odinga anapitwa, afadhari hata sahiv anaongoza, amani inakuja.

Eeeh Jah Fanikisha Odinga ashinde uchaguzi huu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaan mchana hadi nimelia, kisa naona Odinga anapitwa, afadhari hata sahiv anaongoza, amani inakuja.

Eeeh Jah Fanikisha Odinga ashinde uchaguzi huu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi pia mchana nilikuwa sina amani, nilikuwa naumia mnooo,kweli bora sasa inatia natumaini,Mungu amsaidie.
 
Alifanyaje?
Kufuatia jaribio la Mapinduzi ya kikosi fha wanahewa kujaribu kumpindua Moi kufeli,ilifuatia kamatakamata ya watu wengi kuwekwa kizuizini na Moi kwa kushukiwa kuwa masterminds wa njama hiyo. Odinga naye aliswekwa ndani na mwingine ni mwandishi maarufu sana anaitwa Koigi wa Eamwere. That was back in 1982. Odinga harakati hajazianza leo. Yeye na marehemu wawili Maalim Seif na Etienne Tshekedi kwangu ndio wapinzani bora kabisa katika ukanda wetu. Huyu Kiiza Besigye naye amejaribu lakini viatu vya haea watatu vinampwaya . Nadhani nimejitahidi kukupa insight.
 
Back
Top Bottom