heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Babu ashinde bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Presha inapanda😂😂Thibitisha mkuu
Form 34A 98 percent zinahesabiwa tayari Raila anaongoza up to 54%Thibitisha mkuu
Utakufa kwa presha.Form 34A 98 percent zinahesabiwa tayari Raila anaongoza up to 54%
Wallah naomba ashinde huyu Odinga, katoka mbali mnoo, wampe hata muhula m1 tyuuh.Wajaluo tunasimama na odinga baba, sisi watu wa kilongwe bubombi sometimes tuna feel tum Kenya,..
Nadhani walianza kuhesabau ngome za ruto ndio maana Alikua anaongoza, sasahivi ni ngome za odinga zimeanza kujumlishwa, hapo bado migori na kisumu huko ni 100%
Kufika hasubui odinga atakua Mbali sanaAyaa hayo apoView attachment 2320509
Haya ya tangu asubuho mmmmhAyaa hayo apoView attachment 2320509
Unachobisha ni kipi bro!!!Utakufa kwa presha.
Odinga hachukui nchi, Kenyatta kawapiga cha pua.Unachobisha ni kipi bro!!!
Husisahau amewahi kuwekwa kizuizini na Moi.Wallah naomba ashinde huyu Odinga, katoka mbali mnoo, wampe hata muhula m1 tyuuh.
Hii ya saa 4 na sasa ni 5Ayaa hayo apoView attachment 2320509
Usikariri note comment yangu.Odinga hachukui nchi, Kenyatta kawapiga cha pua.
sio kweli Raila ndy anaongoz kinyanganyiloLive updates;
Ruto 5,743,550(51.5)
Raila 5,235,457(47.7)
Kheeeeeeh mbna mnachanganya sana, khaaaah.Live updates;
Ruto 5,743,550(51.5)
Raila 5,235,457(47.7)
Hata km,Husisahau amewahi kuwekwa kizuizini na Moi.