Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
baba&martha
20220810_235204.jpg
 
Ingekuwa nchi fulani katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, sasa hivi ungesikia nyumba ya Ruto imezingirwa na maafisa usalama na huduma za Internet hazipatikani.
Sema tu ingekuwa TANZANIA...na wagombea wote wa upinzani wangekuwa wamekosea kujaza form, mawakala wa vyama vyao wangekuwa hawana sifa, hakuna mtu kusubiri matokeo eneo la kuhesabia kura, wagombea wa upinzani karibu nusu wangekuwa lockup hadi sasa aaghhrrr
 
1995 tukiwa Nccr mageuzi na mgombea wetu wa ubunge Iringa mjini alikuwa Mkemia Kibassa tulikesha umbali wa mita 200 hadi Kibassa alivyotangazwa mshindi

Chadema wakiona Polisi tu wanakuwa waoga hata sehemu penye haki yao

Nadhani leo wanajifunza kwa Wafuasi wa UDA ya William Rutto wanaokesha wakilinda kura za Wagombea wao wote na matunda tunayaona
 
Citizen Tv Sasa hivi ni Odinga 50.01%

Ruto 48.69%

Wanaongea tokea Kisii
 
Back
Top Bottom