Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Yaani Uhuru na Rutto wamecheza igizo la kutofautiana ili kumhadaa Mzee Raila?....Odinga hachukui nchi, Kenyatta kawapiga cha pua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Uhuru na Rutto wamecheza igizo la kutofautiana ili kumhadaa Mzee Raila?....Odinga hachukui nchi, Kenyatta kawapiga cha pua.
Una fikiri makandokando ya huku kwenu ndio Kenya? Hilo sahauOdinga hachukui nchi, Kenyatta kawapiga cha pua.
Achana na huyu mkuu anayeweka data bila source🤔sio kweli Raila ndy anaongoz kinyanganyilo
Muulize source ya takwimu zake🤔Kheeeeeeh mbna mnachanganya sana, khaaaah
Mkuu mgerasi yatosha asee nasema yatosha. Lala sasa banaGem over matokeo tunayo tayari
Unataarifa ya wapiga kura waliokamatwa kwenye roli kutoka uganda?Ungekua uchaguzi wa tanzania ungesikia sahivi mawakala wamepigwa stop kuingia ndani. Mara kuna mtu kaingia na ndoo iliyopigwa kura.
Polisi wavamia na kubeba sanduku la kura
Kinyang'anyilo ndo kinini?sio kweli Raila ndy anaongoz kinyanganyilo
Duuuh yaan ni hatareeee, lol.Muulize source ya takwimu zake[emoji848]
Duuuuh huyu mzee ashinde jaman, wallah Jah awe naebaba&marthaView attachment 2320512
Hii futa umeirudia mnoLive updates;
Ruto 5,743,550(51.5)
Raila 5,235,457(47.7)
Sema tu ingekuwa TANZANIA...na wagombea wote wa upinzani wangekuwa wamekosea kujaza form, mawakala wa vyama vyao wangekuwa hawana sifa, hakuna mtu kusubiri matokeo eneo la kuhesabia kura, wagombea wa upinzani karibu nusu wangekuwa lockup hadi sasa aaghhrrrIngekuwa nchi fulani katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, sasa hivi ungesikia nyumba ya Ruto imezingirwa na maafisa usalama na huduma za Internet hazipatikani.
Hiyo umeitoa wapibaba&marthaView attachment 2320512
Odinga ameshashinda kinachofata ni utaratibu tuDuuuuh huyu mzee ashinde jaman, wallah Jah awe nae
Onyesha nilipoirudiaHii futa umeirudia mno