ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kashinda Odinga tayari gem over. Ruto alijitahidi sana lkn ndio vile tena poleni Tim RutoMlongo mbona kura bado zahesabiwa😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashinda Odinga tayari gem over. Ruto alijitahidi sana lkn ndio vile tena poleni Tim RutoMlongo mbona kura bado zahesabiwa😂😂😂
Hata kusikia watasikilizia wapi ??Viongozi wa NEC Tanzania ufalme wa mbinguni watausikia tu
Namrusha roho tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlongo mbona kura bado zahesabiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan akikosa safari hii, bas aache siasa lol.Atakufa akijaribu akishindwa, may be this time atakuwa mshindi.
Hii umeipata wapi mkuuNtv wamefikisha kura zaidi ya 8m. Wamebakisha around 6m votesView attachment 2320495
Wee sema kweli??? Ameshinda Odinga??? Bora iwe hivyo wallah.Kashinda Odinga tayari gem over. Ruto alijitahidi sana lkn ndio vile tena poleni Tim Ruto
Mbona hakuna comeback ya maana?Anaweza kujipiga dildo mwenyewe kwa come back hii anayofanya Dinga
Gem over matokeo tunayo tayariWee sema kweli??? Ameshinda Odinga??? Bora iwe hivyo wallah.
Fungia bagiaGem over matokeo tunayo tayari
Nyie bora iwe kweli huyu baba aongoze hata muhula mmoja, ametoka mbali mnoo, mweeeeeh.Yes ni Odinga according to CNN
Jaman bora iwe kweli, huyu Mzee ashinde uwiiiih.Gem over matokeo tunayo tayari
Thibitisha mkuuKashinda Odinga tayari gem over. Ruto alijitahidi sana lkn ndio vile tena poleni Tim Ruto
WaaaapiiiiJaman bora iwe kweli, huyu Mzee ashinde uwiiiih.
Kumbe upogo bibie. CNN ipi iyo? Au ya Nyarugusu?;Yes ni Odinga according to CNN
Unataka kujiweka na Mimi [emoji23].Wewe ushamaliza kuhesabu za vituo vyote 46000+??
We jamaa uko timamu kichwani??
Namkubali ruto ila inabidi apambne urais upati kirahis rahis HV odinga anaweza kuwa rais Ila msuka na nguvu amepoteza iNever on earth