Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Citizen wako nyuma saana, kwa sasaPitia hapa Elections Portal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Citizen wako nyuma saana, kwa sasaPitia hapa Elections Portal
SahauRuto lazima atamshikisha Odinga ukuta
UpeOdinga kaanza kukaa pale juu sasa
Vituo 25,723Dinga ananyata mdogo mdogo
KWa vigezo vipi? Cha msingi tu kura zake zitosheSahau
Odinga ni Rais hilo wala halina ubishi
Viongozi wa NEC Tanzania ufalme wa mbinguni watausikia tu[emoji3][emoji3] kwetu hapa ukiachwa tu kwa kura 2000 asubuhi basi hesabu maumivu,maana baada ya masaa kadhaa zinakuwa 2M gap
Never on earthKwaiyo tu asume Ruto kuwa Rais wa Kenya?
Zungusha man hicho kijiti tuko wengi usikae naloTunasimama na Wajackoyah
ndiyoooo,ni yeye Ruto the hustler[emoji123]Kwaiyo tu asume Ruto kuwa Rais wa Kenya?
Wajackoya mzee wa kuchangamsha genge tu wala hana shida na uraisi kama Hashim Rungwe tuTunasimama na Wajackoyah
Hata mimi Ruto namuona ana majivuno ,kiburi na mipasho mingi hafai hata kidogo bora mzee Raila mtu mpole.Ruto hana mahusiano mazuri, ana dharau sana kama wale wakikuyu wa zamani waliokuwa wanajiona ni black muzungu. Huyu sina taarifa yoyote ya kuvuka mpaka na kutembelea 🇹🇿 Kama baba ambaye tunamwona ni mwenzetu
Juzi juzi alitoa maneno ya dhihaka kwa member mwenzetu wa jumuia ya afrika mashariki🇨🇩
Huyu atavunja na kuuvuruga ushirikiano wa afrika mashariki. Bora babu hana noma na mtu. Huyu Ruto ukimfuatilia hotuba zake ni kama na yeye anavuta kitu ya WAJAKOYA
Wameshindwa kukaa huko ndio maana wakaondoka. Mwenye akili timamu hawezi kuendelea kukaa huko ufipaHuwa mnachekesha sana mnadai upinzani wahuni sasa kivipi kina Silinde, Shonza, Mollel, Mkumbo, Gekul, na waitara n.k walipokuja huko mliwapa uwaziri? Au wanakua wahuni wakiwa na magwanda ila wanageuka malaika wakivaa kijani??
Kwahiyo mafisadi yaliyojazana CCM kama Rostam na wenzie hao ndio wasafi?
Jiandae kuvua nguo wakati umejiri sasaJamani naombeni yeyote mwenye reliable source ya haya matokeo. I wish NTV updates are the correct one. Kwasababu moyo unapenda mbio. Ntafurahi Sana Ruto akiibuka mshindi