Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
IMG_20220810_221659.jpg
 
Ruto hana mahusiano mazuri, ana dharau sana kama wale wakikuyu wa zamani waliokuwa wanajiona ni black muzungu. Huyu sina taarifa yoyote ya kuvuka mpaka na kutembelea 🇹🇿 Kama baba ambaye tunamwona ni mwenzetu

Juzi juzi alitoa maneno ya dhihaka kwa member mwenzetu wa jumuia ya afrika mashariki🇨🇩

Huyu atavunja na kuuvuruga ushirikiano wa afrika mashariki. Bora babu hana noma na mtu. Huyu Ruto ukimfuatilia hotuba zake ni kama na yeye anavuta kitu ya WAJAKOYA
Hata mimi Ruto namuona ana majivuno ,kiburi na mipasho mingi hafai hata kidogo bora mzee Raila mtu mpole.
 
Huwa mnachekesha sana mnadai upinzani wahuni sasa kivipi kina Silinde, Shonza, Mollel, Mkumbo, Gekul, na waitara n.k walipokuja huko mliwapa uwaziri? Au wanakua wahuni wakiwa na magwanda ila wanageuka malaika wakivaa kijani??

Kwahiyo mafisadi yaliyojazana CCM kama Rostam na wenzie hao ndio wasafi?
Wameshindwa kukaa huko ndio maana wakaondoka. Mwenye akili timamu hawezi kuendelea kukaa huko ufipa
 
Back
Top Bottom