Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Ruto ana M.5.628
Odinga M. 5.610
Source KTN
Odinga M. 5.610
Source KTN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo KTN washatally stronghold zone zote za Odinga.Ruto ana M.5.628
Odinga M. 5.610
ntv ndio wanatangaza hivyo, the rest ni contrary. Hapa nao Kenya wamenichosha pampja na kuwasalute for a fair and free election
KTN WAPO MBELE YA TV ZOTE ndo utapata majibuntv ndio wanatangaza hivyo, the rest ni contrary. Hapa nao Kenya wamenichosha pampja na kuwasalute for a fair and free election
Your wishes anyway not ballot box wishesOdinga ndiye rais ajaye sa wengine wanabisha.
kwanini ntv wako current zaidi?Hawa bado wapo nyuma ya NTV. Naona katika vyombo vyote NTV ndio wapo current zaidi
Wewe unaangaliwa vp nenda KTN UONE NANI YUPO CURRENTLYkwanini ntv wako current zaidi?
Labda ni intentionally plans to avoid vurugu ili watu wae na matumaini ya mgombea wao ila tume ndo wanajua wakipiga dude Moja itaelewekaHow Kenya intelligent unit succeed misled truths on results. /ndio maana kila chumba cha habari Kenya kina matokeo yake, haishuki!!!.
rekebisha kiingerezaintelligent unit succeed misled truths on results.
Wacheni tuwafanyizie kaziii 🤣🤣🤣Ngapi Huko? Engineer Soma Wewe?
Sukuma Ndani Wote Hawa
wabongo acheni shobo kutwa kusakama vya kwenu mkiambiwa andamaneni mnajificha. Wenzenu wakenya wakipigania jambo wanajivika ushujaa ndo maana wapo hapo walipo
Sawa monitorrekebisha kiingereza
nalo hilo la kila kituo kuwa na matokeo yake ni changamoto za Mahela na Jiwe
ngoj tusubiri kauli ya Chabukati..hivi vituo vitaleta shidaKTN WAPO MBELE YA TV ZOTE ndo utapata majibu
Intelligent unit ndo kitu gani? Wabongo hivi vitu mtuliege tu mnatia aibu.How Kenya intelligent unit succeed misled truths on results. /ndio maana kila kituo cha habari Kenya kina matokeo yake, hamshtuki !!!.
Haha Haha Haha hahaha loudly !!!!!!#@!##@!!-@!!Intelligent unit ndo kitu gani? Wabongo hivi vitu mtuliege tu mnatia aibu.
Hivyo vituo kila mtu anajumlisha namba za 34A randomly ndio maana. Mwisho wa siku ataemaliza zote atakua na picha kamili.ngoj tusubiri kauli ya Chabukati..hivi vituo vitaleta shida
Kiingereza hakijakaa sawa, may be from a university graduate! take it easy, that is how we learn by making mistakes and correcting them!Sawa monitor