Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kiingereza hakijakaa sawa, may be from a university graduate! take it easy, that is how we learn by making mistakes and correcting them!
Waingereza pale london ukiongea broken huwa hawakucheki wanajua mswahili sio lugha yake anajifunza na tumemuelewa! "mswahili na mie ngwangwangwa, Kenya kuna trick game inachezwa tutake tusikate!
 
Unamachozi ya karibu Sana ?
Yaan mchana hadi nimelia, kisa naona Odinga anapitwa, afadhari hata sahiv anaongoza, amani inakuja.

Eeeh Jah Fanikisha Odinga ashinde uchaguzi huu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nawakumbusha, haya siyo matokeo rasmi. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka itaanza kutangaza matokeo baada ya kupokea fomu 34A kutoka vituo vyote.

Lengo ni kuhakiki matokeo kwa kulinganisha fomu halisi na ile iliyotumwa kupitia mtandao.

Hata hivyo, mtu yeyote mwenye internet anaweza kupakua fomu hizo na kujumlisha matokeo kutoka kwenye website ya IEBC.

Matokeo yanatofautiana kwenye vituo vya Tv kwasababu ya uwezo wa nyenzo za kupakua na kujumlisha matokeo katika vyombo vya habari.

Ukiyachukulia kama matokeo rasmi utaumia.

Tunywe mtori kwanza nyama tutazikuta chini.

Watanzania wataishia kuona na kufundinshwa maana ya uchaguzi na Kenya hadi pale watakapoacha uwoga.

Huu uwazi na utulivu tunaoushuhudia haujaja kirahisi, kumbukeni. Haki haiombwi, haki inapiganiwa. Wakenya walizichapa 2007/08 matokeo yake wakapata serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoleta Katiba mpya.

Katiba mpya imetibu magonjwa mengi sana Kenya, huku Watanzania wanawabeza kwamba wana ukabila, wao waligundua hilo na wameamua kushughulikia ukabila kimfumo kwa kuanza na Katiba.

Mtanzania anasubiri Mbowe na Lissu ndo aje apigane kwa niaba yake huku yeye akijisemea, ‘basi Sawa’.
 
Intelligent unit ndo kitu gani? Wabongo hivi vitu mtuliege tu mnatia aibu.
Kumbe ndivyo mlivyo watz tumekesha hapa tuko began kwa bega nanyi Ndugu zetu ,kumbe mna mazalau hivi, naanza kumuelewa countrywide ndo maana huwa anawatukana
 
Back
Top Bottom