nimesema arekebishe ki-malkia kuna mtu akasema mimi ni monitor wa darasa. Nikaona wabongo takataka.Intelligent unit ndo kitu gani? Wabongo hivi vitu mtuliege tu mnatia aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesema arekebishe ki-malkia kuna mtu akasema mimi ni monitor wa darasa. Nikaona wabongo takataka.Intelligent unit ndo kitu gani? Wabongo hivi vitu mtuliege tu mnatia aibu.
that sounds sensible!Hivyo vituo kila mtu anajumlisha namba za 34A randomly ndio maana. Mwisho wa siku ataemaliza zote atakua na picha kamili.
Waingereza pale london ukiongea broken huwa hawakucheki wanajua mswahili sio lugha yake anajifunza na tumemuelewa! "mswahili na mie ngwangwangwa, Kenya kuna trick game inachezwa tutake tusikate!Kiingereza hakijakaa sawa, may be from a university graduate! take it easy, that is how we learn by making mistakes and correcting them!
Siyo kweli. Kisumu badoHapo KTN washatally stronghold zone zote za Odinga.
Kisumu ili tena naona nimekuona Odinga kabeba kura 364,234Siyo kweli. Kisumu bado
Yaan mchana hadi nimelia, kisa naona Odinga anapitwa, afadhari hata sahiv anaongoza, amani inakuja.
Eeeh Jah Fanikisha Odinga ashinde uchaguzi huu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Odinga anapindua Meza amezidiwa kura 28049.67% kwa 49.67% ngoma nzito hii
kiingereza kwa mswahili ni reflection ya shule kichwani ikoje! One can tell your level and mastery of learning/ outcome from your mastery of English....kwa kiasi fulani"mswahili na mie ngwangwangwa,
Mkuu unaangalia kituo gani?Odinga kwanza kupigwa different ya laki sasa....
Achana na wenye "mahaba" na wagombea...Mkuu unaangalia kituo gani?
Kituo gani mkuu? Yuko na kura ngapi?Achana na wenye "mahaba" na wagombea...
Odinga bado anaongoza...
Kumbe ndivyo mlivyo watz tumekesha hapa tuko began kwa bega nanyi Ndugu zetu ,kumbe mna mazalau hivi, naanza kumuelewa countrywide ndo maana huwa anawatukanaIntelligent unit ndo kitu gani? Wabongo hivi vitu mtuliege tu mnatia aibu.
Baba yenu kaishapigwa hukoJamani mbona sielewi nani hasa mshindi R au O ?