Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
angalian ntv sasa hivi na imebadilika na kuwa as follows
Raila 5220707 (51.78%) , Ruto 4793944 (47.55%)
angalia ntv live
Sasa Ukienda KTN Ruto anakura 5,900,102 sawa na 50.2% huku Raila anakura 5,773,531 sawa 49.1%
Screenshot_2022-08-11-09-13-02-86_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Nairobi kama Dar es Salaam always watu wapo against chama Tawala.
How many voted is what matter. Those people should have gone to vote like there is no tomorrow. I think in 2013&2017 there was a vote rigging. The turnout of 80%+ and today we can see 64.5%turnout? The pictures are being painted now on what happened those days.
 
Kuwa busy kupalilia hizo nyasi na kufukia madimbwi ya hapo nyumbani kwenu. Ukimaliza lilia katiba mpya ili walamba asali wasikujibu jeuri ati uhamie Burundi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Live updates;
Ruto 5,743,550(51.5)
Raila 5,235,457(47.7)
Hii ya wapi?
Ila KWa up to date ya matokeo ya Kenya nimekubali, maana utoa data mbele ya mda na kadri mda unavyo songea kura zinagota KWa hili nakupongeza Sana ila punguza matusi Bwana mdogo vinginevyo una akili sana
Matokeo ya kweli?
 
Hii ya wapi?

Matokeo ya kweli?
Ukifuatilia up to date zake mda mwingi zimekua mbele, na badae zinaenda zinagota, so KWa utafiti wangu binfsi pitia up to date zake naziamini KWa Sasa for 87% Yuko vizuri ,na chanzo chake anasema IEBC
 
Ni mapema sana kusema hivyo. Unaweza kuwa sawa ama la. Inategemea maeneo yaliyobaki kuhesabiwa ni ngome ya nani. Na kunaweza kusiwe na mshindi pia so ngoma ikapigwa round two.
🤣😂 Victoire ,baba kapigwa 😭
 
Back
Top Bottom