Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hapo ndo sijui.Za maeneo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo sijui.Za maeneo gani?
ACHA akalee wajukuu, matumaini yanayeyeka Kama barafuYaaan hapo safi, naomba baba huyu ashinde urais, mweeeeh.
Run off inanukiaHapo ndo sijui.
Wee nae khaaaah, hebu huko.ACHA akalee wajukuu, matumaini yanayeyeka Kama barafu
Bongo internet ingezimwa wiki nzimaDuuuh hadi sahivi bado kura zinahesabiwa??? Mweeeeh hii hatareeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kabisaaaaa.Bongo internet ingezimwa wiki nzima
Unamanisha baba yao kwisha habari yake?Run off inanukia
😂😂😂🤣🤣Wee nae khaaaah, hebu huko.
Heading inatakiwa isomeke hivi,"kumbe Kenya inaendesha uchaguzi Hovyo Sana" samahan nilikosea badala ya kuandka Hovyo nkaandka hivyo!! Kaz kwenuYaan kila chanell Ina matokeo yake,ndo maana wanachinjana kila uchaguzi
Kumbe Tanzania uko juu Sana kidemocrasia,hongeren Sana viongoz wa Tanzania,Kenya inatakiwa waige kwetu
Unajua bongo watu wamechoka na hawaaminiki tena kwa hiyo watu wanakuwa na wasiwasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kabisaaaaa.
😂😂😂🤣Wee nae khaaaah, hebu huko.
E.Afrika nchi ambazo zimebaki kuendesha uchaguzi kishamba wakizani ni sifa mbele ya Dunia ya wastarabu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kabisaaaaa.
A wap!!! Hayawez kuwa sawa,na muda si muda wataanza kuchinjanaWe ndo Hujui Kama kila channel ina upload matokeo kwenye tallingy station kivyake hivyo Lazima yatofautiane Ila mwishoni yatakuwa sawa
Uganda Tz na Rwanda ule sio uchaguzi ni maigizo tu, hamna lolote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
E.Afrika nchi ambazo zimebaki kuendesha uchaguzi kishamba wakizani ni sifa mbele ya Dunia ya wastarabu,
TANZANIA
UGANDA
RWANDA NA na vi nchi vingine Kama viwi hivi ,lazima hii Tabia kukomeshwa Mara moja
IEBCUnatoa wapi mkuu?
Huo msonyo mkiwa chumbani ni busu mpaka mwili unasisimka, msonye tena asilete ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mxxxxxieeeeew
Ww mwamba ni hatari...kwani uko ndani ya IEBC counting roomIEBC