Sasa Ukienda KTN Ruto anakura 5,900,102 sawa na 50.2% huku Raila anakura 5,773,531 sawa 49.1%angalian ntv sasa hivi na imebadilika na kuwa as follows
Raila 5220707 (51.78%) , Ruto 4793944 (47.55%)
angalia ntv live
Tuligawana majukumu kila mtu alikuwa na majimbo yake. Badae tukapiga totalHawawezi sio kazi rahisi kama unavyofikiria..labda ungesema hata rayol media ndio kidogo wanaweza kuwa angalau vifaa venye kasi kwanza unadownload wapi si hapo hapo IBEC portal..
How many voted is what matter. Those people should have gone to vote like there is no tomorrow. I think in 2013&2017 there was a vote rigging. The turnout of 80%+ and today we can see 64.5%turnout? The pictures are being painted now on what happened those days.Nairobi kama Dar es Salaam always watu wapo against chama Tawala.
Bado kama kura million 2 na ushee kuhesabiwa.Sasa Ukienda KTN Ruto anakura 5,900,102 sawa na 50.2% huku Raila anakura 5,773,531 sawa 49.1% View attachment 2320730
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahKuwa busy kupalilia hizo nyasi na kufukia madimbwi ya hapo nyumbani kwenu. Ukimaliza lilia katiba mpya ili walamba asali wasikujibu jeuri ati uhamie Burundi.
Comeback [emoji1][emoji1] teyariSasa Ukienda KTN Ruto anakura 5,900,102 sawa na 50.2% huku Raila anakura 5,773,531 sawa 49.1% View attachment 2320730
Baba kapigwa😂🤣Bado kama kura million 2 na ushee kuhesabiwa.
Sasa uchaguzi wa kwetu, mshindi anajulikana hata kura bado hazijapigwaMbona uchaguz wa kwetu watu walikuwa haufuatili hivi [emoji1]
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mxxxxxieeeeewNenda ukanye umwage huko chooni aliyekukera
Hii ya wapi?Live updates;
Ruto 5,743,550(51.5)
Raila 5,235,457(47.7)
Matokeo ya kweli?Ila KWa up to date ya matokeo ya Kenya nimekubali, maana utoa data mbele ya mda na kadri mda unavyo songea kura zinagota KWa hili nakupongeza Sana ila punguza matusi Bwana mdogo vinginevyo una akili sana
Mnachanganya sanaa, khaaaaah
Ni mapema sana kusema hivyo. Unaweza kuwa sawa ama la. Inategemea maeneo yaliyobaki kuhesabiwa ni ngome ya nani. Na kunaweza kusiwe na mshindi pia so ngoma ikapigwa round two.Baba kapigwa😂🤣
Kheeeeeeh, wee watu tuko buzzy na uchaguzi hapa.ukiisha uchaguz nitakuja pm kwako tuyajenge maan nakulewa[emoji3059][emoji3059] sana yan[emoji257][emoji180][emoji180][emoji175]
Ukifuatilia up to date zake mda mwingi zimekua mbele, na badae zinaenda zinagota, so KWa utafiti wangu binfsi pitia up to date zake naziamini KWa Sasa for 87% Yuko vizuri ,na chanzo chake anasema IEBCHii ya wapi?
Matokeo ya kweli?
Yaaan hapo safi, naomba baba huyu ashinde urais, mweeeeh.Sio joho tu,wanasiasa wote vipanga wa Kenya wapo upande wa Odinga had I akina Junet Mohmed.
🤣😂 Victoire ,baba kapigwa 😭Ni mapema sana kusema hivyo. Unaweza kuwa sawa ama la. Inategemea maeneo yaliyobaki kuhesabiwa ni ngome ya nani. Na kunaweza kusiwe na mshindi pia so ngoma ikapigwa round two.
Malizia, Lakin bado wanatokewa kamasi na mahustlerSio joho tu,wanasiasa wote vipanga wa Kenya wapo upande wa Odinga had I akina Junet Mohmed.
Za maeneo gani?Bado kama kura million 2 na ushee kuhesabiwa.