Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Umesema ukweli
 
Hapana mkuu, The citizen ndio wako mbele na tofauti ni kidogo sana
RAO 6,452,078 49 48%
RUTO 6,404589 49.12%
Na hapo kura zilizobaki si zaidi ya 1.3M.
Kwa hiyo mchuano bado mgumu.
Watu wapo elfu saba huko unaleta habari used za elfu sita eti ndio wako mbele?
 
IEBC ndo watatoa taarifa nani ameshinda , je hivi vituo vya tv vikimaliza na kuonyesha msimamo si ni kama wametangaza tu
Ukitazama The citizen utaelewa knachoendele, kwa sasa wame stuck kwenye figure zile zile hapo nahisi hizo kura chache ndio zinahesabiwa na IEBC ili wao ndio wawe wa kwanza kutangaza.

Tambua: Si kura zote zime kua upploaded
 
Kambi ya Ruto ilikua na mbinu za kuiba kura kwa kushirikiana na dictetor wa Uganda m7, ila wamenaswa
 
Ukitazama The citizen utaelewa knachoendele, kwa sasa wame stuck kwenye figure zile zile hapo nahisi hizo kura chache ndio zinahesabiwa na IEBC ili wao ndio wawe wa kwanza kutangaza.

Tambua: Si kura zote zime kua upploaded

Lakini kama kimsingi inatakiwa wa upload zile form 34A zote wasipoziweka zote zoezi Zima litaingia dosari. Chachu kidogo itaharibu done Zima.
 
Why didn’t he resigned then? Integrity demand that when you don’t agree with the power resign in protest. He went on pocketing money for the job he wasn’t doing. And by the way the Deputy or Vice President isn’t the vision bearer. Remember Samia she was just there physically while the man was driving the show. Now she has a chance of implementing her vision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…