Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
MATOKEO NIMESHAYAJUA[emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema ukweliWatu hawana au hawajui historia za hawa jamaa as wanasiasa, binafsi nakumbuka yeye ndiye chanzo cha ICC kuwahoji yeye na Uhuru na alikuwa anamuomba shetani juu chini Uhuru aonekane mkosaji afungwe ili baadaye aapishwe kuishika ikulu.
Mwanasiasa akikwambia toka ndani kuna giza nenda kahakikishe ni kweli, siyo unabeba mabegi utoke jumla jumla.
Uzuri ni swala la muda tu tutarudi hapa kujua mbivu na mbichiWaliopiga kura ni M14+
Sasa ulitegemea UDA waseme Ruto kashindwa? Hao wanajifatiji tu,Miguna Miguna mwenyewe kagive up.Angalia UDA official tweeter
Ah wapi anajimbumbia tu, RAILA YUKO MBALI SAAANAUpo vizuri mkuu , kazi nyingine iyo Toka UDA official
Hapana mkuu, The citizen ndio wako mbele na tofauti ni kidogo sanaThe Citizen mpishano ni kidogo ila kwa KTN ambayo ipo mbele Ruto kazidiwa over 2,500,000
mzee anaweza kushindaHapana mkuu, The citizen ndio wako mbele na tofauti ni kidogo sana
RAO 6,452,078 49 48%
RUTO 6,404589 49.12%
Na hapo kura zilizobaki si zaidi ya 1.3M.
Kwa hiyo mchuano bado mgumu.
Watu wapo elfu saba huko unaleta habari used za elfu sita eti ndio wako mbele?Hapana mkuu, The citizen ndio wako mbele na tofauti ni kidogo sana
RAO 6,452,078 49 48%
RUTO 6,404589 49.12%
Na hapo kura zilizobaki si zaidi ya 1.3M.
Kwa hiyo mchuano bado mgumu.
Ukitazama The citizen utaelewa knachoendele, kwa sasa wame stuck kwenye figure zile zile hapo nahisi hizo kura chache ndio zinahesabiwa na IEBC ili wao ndio wawe wa kwanza kutangaza.IEBC ndo watatoa taarifa nani ameshinda , je hivi vituo vya tv vikimaliza na kuonyesha msimamo si ni kama wametangaza tu
kaa nayoMATOKEO NIMESHAYAJUA
Ukitazama The citizen utaelewa knachoendele, kwa sasa wame stuck kwenye figure zile zile hapo nahisi hizo kura chache ndio zinahesabiwa na IEBC ili wao ndio wawe wa kwanza kutangaza.
Tambua: Si kura zote zime kua upploaded
Why didn’t he resigned then? Integrity demand that when you don’t agree with the power resign in protest. He went on pocketing money for the job he wasn’t doing. And by the way the Deputy or Vice President isn’t the vision bearer. Remember Samia she was just there physically while the man was driving the show. Now she has a chance of implementing her vision.Ruto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maisha