Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mwisho wa siku Tume ndiyo itatangaza mshindi,hao wa NTV sijui Citizen wakimaliza kutally si wanatulia.Chebukati awalalamikie TV kwani hiyo ni kazi yao? Na kama anawalalamikia mbona mwisho wa siku anasema hayo si matokeo halisi.Watu mtakuja kushangazwa hapa na hamtoamini.
 
Ruto ndo alisababisha Odinga awe prime minister,Ruto alisababisha Uhuru awe Raisi. Anashindwa vipi yeye kujisababisha kuwa Rais ?
Safi sana dada...unakumbukumbu nzuri sana.....ni vile tu moi alikuwa anamuona mdogo ila yeye ndiye angekuwa rais kabla ya uhuru...kuna siri za nchi hawa watatu wamezibeba...uhuru, kenyatta, na raila...ila Rao ndio kaka yao wa nje ya familia

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…