Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Unafiri chibukati atangaza matokeo yapi tofauti na haya ya uchaguzi mkuu wa Jana ambayo ndo haya haya yanatangazwa na media?! Chibukati mwenyewe analalamikia media kuwa ziko nyuma sana wao EIBC washapata 98% ya matokeo ila wanasubiri hard copy zifike ili walinganishe yaliyotumwa kwa soft copy na hizo hard copy, na amesisitiza matokeo yanayotangazwa kwenye kituo yatabaki vilevile, na media ndo zinatangaza hayohayo ya vituoni.
Mwisho wa siku Tume ndiyo itatangaza mshindi,hao wa NTV sijui Citizen wakimaliza kutally si wanatulia.Chebukati awalalamikie TV kwani hiyo ni kazi yao? Na kama anawalalamikia mbona mwisho wa siku anasema hayo si matokeo halisi.Watu mtakuja kushangazwa hapa na hamtoamini.
 
Ruto ndo alisababisha Odinga awe prime minister,Ruto alisababisha Uhuru awe Raisi. Anashindwa vipi yeye kujisababisha kuwa Rais ?
Safi sana dada...unakumbukumbu nzuri sana.....ni vile tu moi alikuwa anamuona mdogo ila yeye ndiye angekuwa rais kabla ya uhuru...kuna siri za nchi hawa watatu wamezibeba...uhuru, kenyatta, na raila...ila Rao ndio kaka yao wa nje ya familia

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Media zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zote
Your source of info is true men, media zote zimestop, hata the nation...yule countrywide alikuwa anajua huo mchezo... angalia hapa
Screenshot_20220811-195026.jpg


Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom