tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Mbona wameendea, acha uzushi mkuu, tuwaachie wakenya uchaguzi wao. Ingawa candidates wote sio sahihi ila Ruto anashinda.Mkuu wakiendelea tena niite mzushi kwa mara ya pili nipo nimekaa pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wameendea, acha uzushi mkuu, tuwaachie wakenya uchaguzi wao. Ingawa candidates wote sio sahihi ila Ruto anashinda.Mkuu wakiendelea tena niite mzushi kwa mara ya pili nipo nimekaa pale
Onyesha mkuu ila najua waliishia 6.76 kwa Ruto na Raila 6.54.. Yani elewa kuwa kulikuwa na makosa. Short and clearMbona wameendea, acha uzushi mkuu, tuwaachie wakenya uchaguzi wao. Ingawa candidates wote sio sahihi ila Ruto anashinda.
Ikiwa Kama haya yote yanawezekana kwa kanuni na nidhamu ya siasa ya Kenya haitoibua vuguvugu mtaani?sasa kama fomu za manual kama zinatofautiana na matokeo yaliyouploadiwa Ina maana gani? Lazima kuna mtu kuvamia mfumo ,unaweza ukakuta tume ina ushahidi wa fomu manual na ni tofauti na kilichouploadiwa
Soma waliosimama ni citizen tu ambayo pia ndo tallying center ya Azimio, baada ya kuona upepo mbaya wakamuita raila akashuhudie mwenyewe, nadhani raila ndo kawastopisha.Nimeranda randa kote,zimestop kweli.Inaelekea G Sam ana reliable source ya taarifa zake.
Nisome ipi sasa?Soma hiyo waliosimama ni citizen tu ambayo pia ndo tallying center ya Azimio, baada ya kuona upepo mbaya wakamuita raila akashuhudie mwenyewe, nadhani raila ndo kawastopisha.
Baada ya zoezi kusimama Ruto alikuwa na 50.20%, Dk 10 zikizopita imepungua na kuwa 50.19%. Link hiyo hapo chini kajionee mwenyewe.Onyesha mkuu ila najua waliishia 6.76 kwa Ruto na Raila 6.54.. Yani elewa kuwa kulikuwa na makosa. Short and clear
KTN Ruto yupo 6.8M sasaOnyesha mkuu ila najua waliishia 6.76 kwa Ruto na Raila 6.54.. Yani elewa kuwa kulikuwa na makosa. Short and clear
Najua ndiyo maana nikawa najaribu kumshangaa anaekuwa excited na matokeo ya TV stationsMshindi hatangazwi na TV ni IEBC
Imeishia saa ngapi?KTN Ruto yupo 6.8M sasa
Walishapana. Hawana sababu ya kupigania tena.Joto la huu uchaguzi wa kwa kweli wakenya wasipochapana mapanga basi haitokaaa itokee siku wakapigana tena
Mungu ibariki Kenya. Mungu ibariki Afrika Mashariki
Nisome ipi sasa?
Ruto oyeeeeee!Bado kura lakin nne tu mahustler tumalize mchezo.View attachment 2321063
Hayo hapo wanatoa, kingine?Na hiyo hiyo tume itakushangaza sana,angalia usije rusha ngumi tu [emoji3][emoji3].Mbona sasa hao NTV wameganda,si waendelee kutoa matokeo ama nini kimewakumba? [emoji2960]
Nimekusoma; lakini raia wa huko mtaani kwenye ushindani mahususi kwa siasa za Kenya kwa hii taarifa itaibua hisia gani?Wewe jua kuwa jamaa kafanya ujinga mingi na NTV ndo kaingiza makura kibao hadi wakakatazwa kuendelea kutoa updates. Chanzo cha kwanza kabisa ilikuwa NTV jamaa alifanya yake mapema akawa anajiongezea tu. Now wamepigwa pin kutokana na huu upuuzi baada ya matokeo ya tume kutofautiana na yao. Kwenye dunia yoyote ile race ya kupanda kushuka mpaka mnapiriliza required amount lazima mtu uwe na shaka. Mbaya zaidi turnout inakaribia bado kuna mambo hayaeleweki. Wangeendelea hivyo pengine Kenya ingekuwa kwingine muda huu. In short NTV na Nation walikuwa race sana hadi wakawa wana upload makorokocho
hii ya NTV siyo IEBCHayo hapo wanatoa, kingine?View attachment 2321183
Hamna atakayefikisha 50 + 1% ambacho ni kigezo cha ushindi! Uchaguzi unarudiwaRuto oyeeeeee!
the 5th President of Republic of Kenya.
Mkuu mbona kama wewe sasa unataka kuukana hata ukweli ulio wazi.Ile speed ya Nation umeiona tena.Hizi figure zimeganda hapa zaidi ya masaa mawili yaliyopitaSoma waliosimama ni citizen tu ambayo pia ndo tallying center ya Azimio, baada ya kuona upepo mbaya wakamuita raila akashuhudie mwenyewe, nadhani raila ndo kawastopisha.
View attachment 2321181
Mkuu umekosea sio 50+1% bali ni 50%+1Hamna atakayefikisha 50 + 1% ambacho ni kigezo cha ushindi! Uchaguzi unarudiwa