Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mkuu umekosea sio 50+1% bali ni 50%+1
Hapana lazima mshidi apate 50% +1% jambo ambalo ni impossible kwasasa 1% kwa idadi ya 14m ya wapiaga kura ni sawa sawa na kura 140,000 hio idadi sio rahisi kuipata kwasasa
 
Nyie ingien Google Halafu type:-2022 kenyan election updates: utaona IEBC Live results updated since 8:52pm tena 38% counted !usitegemee tv!utaona Raila 50.2 % Ruto 49.03% live kabisa!

Jaribu uone
Mkuu, si kwamba data za vituo ni fake hapana,wao wako mbele matokeo rasmi ya Tume. Tjme inatoka nyuma,na mpaka sasa hakuna matokeo yaliyotangazwa na vituo yakaja kutofautiana na matokeo ambayo Tume imekuja kutangaza baadae.
 
Raila anashinda uchaguzi huu hapatakuwa na run-off.

Kila kitu mbona kipo wazi maana ukiangalia tweet za watu kama kina Miguna Miguna ambao ni pro Ruto utabaini Ruto kapigwa za uso maana wale wana access ya taarifa za ndani kabisa.
Bora iwe hivyo huyu baba ashinde jaman.
 
Ruto alikuwa pro Raila 2007 .Hivyo Raila alipata kura za Rift Valley. Kumbuka Raila ndo alishinda ule uchaguzi kiukweli.Sema Mwai Kibaki akaiba ule uchaguzi na kujitangaza yeye kashinda tena. Ndo fujo ndo mpaka kukawa na serikali ya mseto na Raila akiwa waziri mkuu.
Kuhusu Uhuru. Bila Ruto Uhuru asingepata kura za Rift Valley. Mind you that Wakalenjin na Wakikuyu ndo wengi sana.
Muda mwingine upunguze ujuaji. Usome au usikilize wengine wanachosema. Pia baada ya wakikuyu kabila linalofuata ni waluhya wa western
 
Yaan hadi sahivi kura zinahesabiwa tyuuh. Waliopiga kura ni bil+??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom