Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
sasa kama fomu za manual kama zinatofautiana na matokeo yaliyouploadiwa Ina maana gani? Lazima kuna mtu kuvamia mfumo ,unaweza ukakuta tume ina ushahidi wa fomu manual na ni tofauti na kilichouploadiwa
Ikiwa Kama haya yote yanawezekana kwa kanuni na nidhamu ya siasa ya Kenya haitoibua vuguvugu mtaani?

Nahitaji kujua kwa sababu ni miongoni ninaonza kufuatilia siasa za Kenya. Swali langu linajikita hivyo mara nyingi kipindi cha chaguzi za Kenya naona kama petrol na moto zinakaribiana sana!
 
Nimekusoma; lakini raia wa huko mtaani kwenye ushindani mahususi kwa siasa za Kenya kwa hii taarifa itaibua hisia gani?

Uaonekana ni mwenye ufahamu wa siasa za Kenya. Nahitaji kujua mtazamo wako kwenye aya ya juu tafadhali.
 
Soma waliosimama ni citizen tu ambayo pia ndo tallying center ya Azimio, baada ya kuona upepo mbaya wakamuita raila akashuhudie mwenyewe, nadhani raila ndo kawastopisha.
View attachment 2321181
Mkuu mbona kama wewe sasa unataka kuukana hata ukweli ulio wazi.Ile speed ya Nation umeiona tena.Hizi figure zimeganda hapa zaidi ya masaa mawili yaliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…