Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Yani pale walipoishia ndo hapo hapo Ruto alikuwa anatoboa 6.7M wakati hizo kura hana. Kama angefanikiwa ngoma ingeenda second round
Unaongea kama vile umeshahesabu kura zote kabla hata ya tume
 
Mkuu mbona kama wewe sasa unataka kuukana hata ukweli ulio wazi.Ile speed ya Nation umeiona tena.Hizi figure zimeganda hapa zaidi ya masaa mawili yaliyopita View attachment 2321184
Masaa mawili?! Labda kama umetaka kujidanganya mwenyewe ili ufurahi, Kuna niliyopost hata saa halijaisha ni tofauti na hii, subiri waupdate tena nipost ili ulete kisingizio kingine.
 
Masaa mawili?! Labda kama umetaka kujidanganya mwenyewe ili ufurahi, Kuna niliyopost hata saa halijaisha ni tofauti na hii, subiri waupdate tena nipost ili ulete kisingizio kingine.
Hata mimi ninaangalia pia,au unadhani ni wewe peke yako ndiyo una link hiyo? Lakini kwa nini tubishane? Baada ya saa nzima naomba ulete tena kama kutakuwa na figures mpya.
 
Hata mimi ninaangalia pia,au unadhani ni wewe peke yako ndiyo una link hiyo? Lakini kwa nini tubishane? Baada ya saa nzima naomba ulete tena kama kutakuwa na figures mpya.
mkuu hapa ishu either media ziengeendelea kuhesabu kura zingezidi zaidi ya ile iliyopigwa na ingekuwa error kubwa sana,au udukuzi umefanyika mpaka mtu kajizidishia kura ,au mtu kashindwa kihalali kwa asilimia chache ila system inataka kufanya mambo yake
 
Nakubaliana na wewe,na kwa speend hasa ya NTV walikuwa wanakuja kuwa na final figure ya kushangaza,afadhari wamewapiga stop.
 
Loo kweli siasa ina mengi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…