NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Hapana lazima mshidi apate 50% +1% jambo ambalo ni impossible kwasasa 1% kwa idadi ya 14m ya wapiaga kura ni sawa sawa na kura 140,000 hio idadi sio rahisi kuipata kwasasaMkuu umekosea sio 50+1% bali ni 50%+1
Wajaluo hawatakubali.Sasa hivi saa9;03 Ruto anaongoza Ruto 50.1%,Raila 49.3%
Umechanganya RAILA NI 49.3Nyie ingien Google Halafu type:-2022 kenyan election updates: utaona IEBC Live results updated since 8:52pm tena 38% counted !usitegemee tv!utaona Raila 50.2 % Ruto 49.03% live kabisa!
Jaribu uone
Mkuu, si kwamba data za vituo ni fake hapana,wao wako mbele matokeo rasmi ya Tume. Tjme inatoka nyuma,na mpaka sasa hakuna matokeo yaliyotangazwa na vituo yakaja kutofautiana na matokeo ambayo Tume imekuja kutangaza baadae.Nyie ingien Google Halafu type:-2022 kenyan election updates: utaona IEBC Live results updated since 8:52pm tena 38% counted !usitegemee tv!utaona Raila 50.2 % Ruto 49.03% live kabisa!
Jaribu uone
Sasa hii ina tofauti gani na niliyokuwekea pale juu? Tulia Chebukati afanye yake,angalia tu usije rusha ngumi kwa dissapointment [emoji3]Hata saa halijaisha soma hiyoooView attachment 2321203
Ilikuwa hivyo HAPO saa8:52 Hadi 9;3Umechanganya RAILA NI 49.3
Bora iwe hivyo huyu baba ashinde jaman.Raila anashinda uchaguzi huu hapatakuwa na run-off.
Kila kitu mbona kipo wazi maana ukiangalia tweet za watu kama kina Miguna Miguna ambao ni pro Ruto utabaini Ruto kapigwa za uso maana wale wana access ya taarifa za ndani kabisa.
Mshindi ni atakayepata 50% alafu ikazidi angalau kura 1. Ndio maana ya 50%+1 . Hiyo moja ni just a single vote.Hapana lazima mshidi apate 50% +1% jambo ambalo ni impossible kwasasa 1% kwa idadi ya 14m ya wapiaga kura ni sawa sawa na kura 140,000 hio idadi sio rahisi kuipata kwasasa
Kwani ameshashinda??? Hebu sema kweli.Hongera zake Raila, yeye ndiye raisi ayaye.
Hujaona tofauti!![emoji23][emoji23][emoji23] Basi wewe ni mbishi tu.Sasa hii ina tofauti gani na niliyokuwekea pale juu? Tulia Chebukati afanye yake,angalia tu usije rusha ngumi kwa dissapointment [emoji3]
Hawezi kushinda mkuuKwani ameshashinda??? Hebu sema kweli.
Anataka aone tofauti kwenye malakiHujaona tofauti!![emoji23][emoji23][emoji23] Basi wewe ni mbishi tu.
Mie ndo navurugwa kabisaaaa.Jamani kwa hiyo Ruto ndo anaongoza,? Dah sasa Raila ndo itakuwaje jamani
Muda mwingine upunguze ujuaji. Usome au usikilize wengine wanachosema. Pia baada ya wakikuyu kabila linalofuata ni waluhya wa westernRuto alikuwa pro Raila 2007 .Hivyo Raila alipata kura za Rift Valley. Kumbuka Raila ndo alishinda ule uchaguzi kiukweli.Sema Mwai Kibaki akaiba ule uchaguzi na kujitangaza yeye kashinda tena. Ndo fujo ndo mpaka kukawa na serikali ya mseto na Raila akiwa waziri mkuu.
Kuhusu Uhuru. Bila Ruto Uhuru asingepata kura za Rift Valley. Mind you that Wakalenjin na Wakikuyu ndo wengi sana.
Hivi unadhani hivyo vituo vinatoa wapi taarifa mkuu?Mnaosema Ruto anachakachua kwani hizi Tv zinatumia mfumo wa tume? Si kila tv inajijumlishia kivyake? Ingekuwa tume ndio ipo live ndio tungesema
Nyie mnanirusha roho mnooo. Jaman Mzee Odinga ashinde eboohHawezi kushinda mkuu