Kasome mwongozo tena halafu urudie kusoma ulichoandikaHapana lazima mshidi apate 50% +1% jambo ambalo ni impossible kwasasa 1% kwa idadi ya 14m ya wapiaga kura ni sawa sawa na kura 140,000 hio idadi sio rahisi kuipata kwasasa
Utakuwa mjinga sana....uccm utakuua bladfakeni.Mods toeni uzi huu,unaleta taharuki,JF inatumika hadi Kenya,si Tanzania tu.
Ndo demokrasia. Kwa nini wasikubali ?Wajaluo hawatakubali.
Muongozo atausoma lakin hawez elewa alichoandika...Tumuache tuu namba zina wenyeweKasome mwongozo tena halafu urudie kusoma ulichoandika
Babu kazimia, anakula dawa za presha.Woooyooo Hongeraa sana [emoji898][emoji898]Baba Mzee wetu Raila Odinga
Jamaa wanajua baba ni baba tu; hamna cha demokrasia wala nini.Ndo demokrasia. Kwa nini wasikubali ?
Hahahahhaha ungemwambia akuite mbwaaaa! Kiufupi kuna mapolitical genius wengi tu wametulia wanasoma mchezo unavyoenda... safi sana menMkuu wakiendelea tena niite mzushi kwa mara ya pili nipo nimekaa pale
Raila ni chaguo la dola!watamshindisha tu!HIZO ninchenga za mwili tu kuepusha mauaji!!Jamaa wanajua baba ni baba tu, hamna cha demokrasia wala nini.
Naona live google HapaRuto 50.6% na Raila 48.7% mpaka sasa
Nation 2140hrsRuto 50.6% na Raila 48.7% mpaka sasa