Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hizi TV za kenya hovyo kabisa na zinachanganya. Psmoja na mbwembwe zote za kuonyesha live kila Tv inaonyesha vitu tofauti. Kuna zingine zipo kwenye maelu, zingine laki , mara huku ruto anaongoza huku raila anaongoza. Kama hawawezi kuwa na harmony basi waiachie tume ifanye kazi yake
Tume imeshatoa matokeo yote vituoni wamebandika kwa website Yao hata wewe ukienda unaweza download vituo vyote 46000+ then ujumlishe.

So unakuta CItizen wanajumlisha kivyao kuendana na county wanazotaka kuanza nazo then NTV unakuta wameanza na county za central n.k so majibu yatakua tofauti ila kufikia jioni matokeo yatafanana maana count itakua imevuka 5 Million.

Kwa ufupi matokeo yote yameshatolewa Bado kujumuisha tu then matokeo yatatolewa ndani ya siku 7.
 
Ngoja nikufafanulie Kidogo.

Kupata matokeo lazima uingie kwenye website ya IEBC upakue Form No 34A then uchukue Kura ujumlishe mwenyewe.

Utofauti wa matokeo kwenye vyombo vya habari unatokana na kwamba,Kila Chombo Cha habari Kinaweza kujumlisha matokeo ya vituo A,C,D,K,N,F wakati kingine kikijumlisha matokeo ya vituo A,N,X,D,P. Kwahiyo matokeo ya awali lazima yatofautiane kwasababu wamejumlisha Vituo tofauti. Matokeo ya mwisho ndio sahihi zaidi.
Simple explaination

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ila siasa bana..kweli kwenye siasa hakuna adui au rafik wa kudumu..nikikumbuka Rutto na Uhuru wakiteseka kule ICC pambana na kesi kama zote..na kufanikiwa..leo hii uhuru ana msapoti Odinga..nilichogundua ni kutafuta hela tuu..yaan odinga,uhuru urais ni prestige tu...fedha wameanza cheza nazo wakiwa tumboni mwa wazazi waho...cheza ikulu yotee ile...wakat huo rutto anachunga ng'ombe hukoo..umasikin mbaya sna..
Sasa wewe na Rutto nani masikini? Na masikini ni mtu gani? Hapo huenda njaa tu umeshiba sembe na kisamvu unamponda Ruto, haupo serious na nina mashaka na akili yako. Kwenu mna hata hao ng'ombe? Familia yako na ya Rutto kwa sasa yepi yenye hela? Dead meat!
 
Tume imeshatoa matokeo yote vituoni wamebandika kwa website Yao hata wewe ukienda unaweza download vituo vyote 46000+ then ujumlishe.

So unakuta CItizen wanajumlisha kivyao kuendana na county wanazotaka kuanza nazo then NTV unakuta wameanza na county za central n.k so majibu yatakua tofauti ila kufikia jioni matokeo yatafanana maana count itakua imevuka 5 Million.

Kwa ufupi matokeo yote yameshatolewa Bado kujumuisha tu then matokeo yatatolewa ndani ya siku 7.
Hee ! mbona siku nyingi ivo.
 
Ruto na Uhuru walikua marafiki kivipi? Ruto ndio alikua ana support mauaji ya Wakikuyu huku Kenyatta akidhamini vikundi vya Wakikuyu kuwachinja kabila la Ruto so walikua maadui kitambo. Kilichowaunganisha ni uchaguzi tu wa 2013 ila uadui umerudi kama zamani maana HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI.
 
Ruto ni tajiri hata kuliko Odinga
 
Matokeo yote yameshatoka mbona so hapo Kila mtu ana haki ya kuhesabu kura hata chumbani kwako then utajua Mshindi ni nani, IEBC wao watahesabu kupitia zile fomu za matokeo MANUALLY ndio watatangaza Mshindi wa jumla.

So hakuna uzembe ila ni uwazi Ili msije sema mtu kaibiwa
Kwa iyo tume Yao ishajua nani anaongoza. Sasa si hapo deep state watapata mwanya wa kumanupulate, kutamper na kuchakachua matokeo na kumnyima Ruto ushindi wake?
 
Hee ! mbona siku nyingi ivo.
Ndio sheria imetoa huo mwanya so wakiweza hesabu karatasi 46,000+ kwa siku moja basi Rais atatangazwa kesho inategemeana tu wataweka mawakala wangapi Ili zoezi liende haraka.

Hata hao Citizen Wana data analyst zaidi ya 40 ndio wanahesabu hizo kura pia kivyao so spidi tu ya kuchakata matokeo yaliyopo kwenye tovuti ya tume ndio itaamua how fast tutamjua Rais
 
Ruto na Uhuru walikua marafiki kivipi? Ruto ndio alikua ana support mauaji ya Wakikuyu huku Kenyatta akidhamini vikundi vya Wakikuyu kuwachinja kabila la Ruto so walikua maadui kitambo. Kilichowaunganisha ni uchaguzi tu wa 2013 ila uadui umerudi kama zamani maana HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI.
Kuna clip Uhuru alikuwa anasema Ruto ni snitch ,alikuwa anafanya mipango chini chini ili nipeleke ICC yeye anirithi
 
Kwa iyo tume Yao ishajua nani anaongoza. Sasa si hapo deep state watapata mwanya wa kumanupulate, kutamper na kuchakachua matokeo na kumnyima Ruto ushindi wake?
Mkuu matokeo ni hard copy inapigwa picha inatumwa kwa website so matokeo yote tayari yalishapostiwa kitambo

So mtu akichakachuwa say vituo 20 vya Nairobi Ina maana ni lazima azitafute zile hard copy 20 azi replace otherwise hard copy lazima zifanane na kilichopostiwa kwa tovuti
 
Kuna clip Uhuru alikuwa anasema Ruto ni snitch ,alikuwa anafanya mipango chini chini ili nipeleke ICC yeye anirithi
Siasa tu hizo, ila walikutanishwa sababu tu kura za kikabila Ili Uhuru aingie ikulu ila sidhani kama walikua wanaelewana tokea siku ya kwanza.

Zaidi alichokosea Ruto ni kuwa na haraka ya Urais badala ya kumsubiri mwenzie amalize 10 years!! Hizo haraka haraka zilimfanya Odinga amtimue serikalini!!
 
Tume imeshatoa matokeo yote vituoni wamebandika kwa website Yao hata wewe ukienda unaweza download vituo vyote 46000+ then ujumlishe.

So unakuta CItizen wanajumlisha kivyao kuendana na county wanazotaka kuanza nazo then NTV unakuta wameanza na county za central n.k so majibu yatakua tofauti ila kufikia jioni matokeo yatafanana maana count itakua imevuka 5 Million.

Kwa ufupi matokeo yote yameshatolewa Bado kujumuisha tu then matokeo yatatolewa ndani ya siku 7.
Tetesi zinasemaje? Maana hizi za Tv nimeshindwa kujua kati ya hayo mafahali wawili
 
Hizi TV za kenya hovyo kabisa na zinachanganya. Psmoja na mbwembwe zote za kuonyesha live kila Tv inaonyesha vitu tofauti. Kuna zingine zipo kwenye maelu, zingine laki , mara huku ruto anaongoza huku raila anaongoza. Kama hawawezi kuwa na harmony basi waiachie tume ifanye kazi yake
Sisi tunakwenda na citizen is unbiased,imeonyesha pande zote mbili 🤔
 
Back
Top Bottom