Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ni 50% plus 1 vote.
Hii issue naifatilia huku nacheka sana.

Hapo ni kama mswahili umwambie atamke 11,000 na 10,001. Akitumia kiswahili cha "hovyo" kile cha "Elfu kumi na moja" huezi note tofauti ya hizo figure 2 hadi pale atakapozitamka kama "Kumi na Moja elfu kwa 11,000" kisha "Kumi elfu na Moja kwa 10,001" respectively.

Same na hii 50% + 1.

Walio sahihi ni kama wewe apo uliesema 50% ya kura zote jumlisha na kura 1 ya halali. Of course hapo inakuwa tayari ni zaidi ya nusu ya kura zote.

Hawa wengine wanaenda chaka kwa kuita 51% ya kura zote.

Yatupasa tujue (50+1)% na (50% + 1) ni vitu viwili tofauti kabisa. Tusiwe kama Magazijuto za primary zimetupiga knock out ukubwani. Lau ingekua ni 51% asilimia kusingekua na maana ya kuweka hii symbol ya % kabla ya alama ya +.

Mfano mwingine kama alio utoa CARDLESS

Kwamba zipo jumla ya kura 1000, Mshindi anatakiwa apate 50%+1 maana ake anatakiwa apate kura walau 501. Wala sio 510 ambazo ni 51% kama inavyotafsiriwa na baadhi ya watu hapa walio shindwa kuelewa maandishi.

Hapo kwenye mfano juu, hiyo 501 ya 1,000 ni 50.08% na the rest ni 49.92%. Ingekuwa ndio matokeo basi hapo ndipo mshindi angetangazwa.

Na kwa Ruto na mwenzie Raila, kama kura zingekua "exactly" Mil 14 (I mean Mil 14 net), basi mshindi anapaswa awe na kura 7,000,000+1 ili atangazwe mshindi.
 
Yani Wenzetu pamoja na weledi wanaouonyesha kwenye kusimamia mambo yao lakini hili tatizo la ukabila na ukanda bado linawasumbua sana... ukiangalia ramani ile ya Kenya inayoonyesha kura zilivyopigwa utaona ruto katawala zaidi maeneo ya Rift Valley anapotokea na kati kati mwa kenya na odinga naye katawala zaidi maeneo ya mgharibi na kusini magharibi japo yeye angalau kapata uungwaji mkono kiasi kikubwa maeneo ya mashariki, pwani na kaskazini mwa Kenya..
Wana shida sana pamoja na kwamba wapo bright kichwani ni wasomi lkn hapo ndio sijui wanakwama wapi.
 
Wewe dini imeshakuharibu Mkuu, mbona yule alieshika nafasi ya mwisho ni mchungaji na hajafikisha kura 50,000 kazidiwa na yule anaehubiri bangi kila siku?....

Kwanini Mungu asimame na RUTO ambae amefanya issue nyingi mbovumbovu Kama mauaji ashindwe kusimama na Mchungaji wake?

Kwahiyo Mungu yeye anashughulika na RUTO NA ODINGA , lakini hana mda na mtumishi wake?..

Mungu amesimama na RUTO mbona hajashinda uchaguzi sasa kwa kishindo? Mbona inaonekana Kama uchaguzi utarudiwa.
Ety MUNGU VS SHETANI.....Mimi naona ni 49% vs 49% kwahiyo Mungu anapelekeshwa na shetani akishinda odinga Mungu ameshindwa?

Ufikirie wakati mwingine ukiwa unaandika
Hii imeashiria kuwa;
1. Wavuta bangi ni wengi
2. Wacha Mungu ni wachache cc Waihiga😅
 
Hii issue naifatilia huku nacheka sana.

Hapo ni kama mswahili umwambie atamke 11,000 na 10,001. Akitumia kiswahili cha "hovyo" kile cha "Elfu kumi na moja" huezi note tofauti ya hizo figure 2 hadi pale atakapozitamka kama "Kumi na Moja elfu kwa 11,000" kisha "Kumi elfu na Moja kwa 10,001" respectively.

Same na hii 50% + 1.

Walio sahihi ni kama wewe apo uliesema 50% ya kura zote jumlisha na kura 1 ya halali. Of course hapo inakuwa tayari ni zaidi ya nusu ya kura zote.

Hawa wengine wanaenda chaka kwa kuita 51% ya kura zote.

Yatupasa tujue (50+1)% na (50% + 1) ni vitu viwili tofauti kabisa. Tusiwe kama Magazijuto za primary zimetupiga knock out ukubwani. Lau ingekua ni 51% asilimia kusingekua na maana ya kuweka hii symbol ya % kabla ya alama ya +.

Mfano mwingine alio utoa CARDLESS

Kwamba zipo jumla ya kura 1000, Mshindi anatakiwa apate 50%+1 maana ake anatakiwa apare kura walau 501. Wala sio 510 ambazo ni 51% kama inavitafsiriwa na baadhi ya waty hapa walio shindwa kuelewa maandishi.

Hapo kwenye mfano juu, hiyo 501 ya 1,000 ni 50.08% na the rest ni 49.92%. Ingekuwa ndio matokeo basi hapo ndipo mshindi angetangazwa.

Na kwa Ruto na mwenzie Raila, kama kura zingekua "exactly" Mil 14 (I mean Mil 14 net), basi mshindi anapaswa awe na kura 7,000,000+1 ili atangazwe mshindi.
Sijui kama nimekuelewa vizuri ila maana yake ni kuwa mshindi lazima apate 50% na na tofauti ya 1% au zaidi kwa anayemkaribia nivyo ninajua na ndivyo ilivyo
 
Yani Wenzetu pamoja na weledi wanaouonyesha kwenye kusimamia mambo yao lakini hili tatizo la ukabila na ukanda bado linawasumbua sana... ukiangalia ramani ile ya Kenya inayoonyesha kura zilivyopigwa utaona ruto katawala zaidi maeneo ya Rift Valley anapotokea na kati kati mwa kenya na odinga naye katawala zaidi maeneo ya mgharibi na kusini magharibi japo yeye angalau kapata uungwaji mkono kiasi kikubwa maeneo ya mashariki, pwani na kaskazini mwa Kenya..
Yeah mkuu ukabila bado ni issue but umeona kwa kenya baada ya kuendesha uchaguzi mkuu wao kitaalamu,nasi pia inasemekana mwendazake eti alipata kura nyingi Kanda ya ziwa ,ila kwa sababu ulikua ni uchafuzi hatukuona kwenye small screens zetu,welldone Kenyans mmeonyesha kuwa haki ya kidemokrasia inaweza patikana, watch out for next Zambia 🇿🇲 general election una kila dalili utakua ni super 👌
 
Raila Odinga Mpka Sasa Amenyakuwa Viti vya Ubunge 134..... William Ruto mpka sasa amenyakuwa Viti vya Ubunge 101

Sijatacha aliyeshinda kiti cha Urais mimi ila AKILI KWA MKICHWA[emoji91][emoji91]
Wewe hakuna kitu unajua Azimio ndio ina viti 134 ila odm iliyopo kwenye coalition ya azimo ina viti 88
Uda yenyewe ina viti 101 na uda iko kwenye coalition ya Kenya kwanza so katafute idadi ya viti Vya Kenya Kwanza
 
Sasa wewe kama unafahamu si uweke hapa data zote,unataka kumwelimisha lakini hapo hapo unamtuma yeye akatafute wakati hajui kwa mtazamo wako.
 
Hakunaga uchaguzi huku
Kuna teuzi tu

Ova
Uchaguzi gani unaouulizia?pls why tuna lazimisha vichwa vyetu kwenye mchanga?,Tanzania hakuna chaguzi kuna uchafuzi, look Kenyans ni technology tupu, finger print ndio inakutambulisha kuwa wewe ni mpiga kura halali, sio vinginevyo
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri ila maana yake ni kuwa mshindi lazima apate 50% na na tofauti ya 1% au zaidi kwa anayemkaribia nivyo ninajua na ndivyo ilivyo
Watu ni wagumu sana kuelewa..

Yaani mnashindwa kuelewa ili ushinde inabidi mtu apate 50% + one vote?..

Mfano kura 1000..ili uwe mshindi inapaswa upate kuanzia kura 501 kwenda juu..

It's that simple.
 
Yeah mkuu ukabila bado ni issue but umeona kwa kenya baada ya kuendesha uchaguzi mkuu wao kitaalamu,nasi pia inasemekana mwendazake eti alipata kura nyingi Kanda ya ziwa ,ila kwa sababu ulikua ni uchafuzi hatukuona kwenye small screens zetu,welldone Kenyans mmeonyesha kuwa haki ya kidemokrasia inaweza patikana, watch out for next Zambia 🇿🇲 general election una kila Dalila utakua ni super 👌
CCM wanawacheki tu afu wanacheeeeeka sana huku wakisema sio kila kitu Ni Cha kuiga.
 
Back
Top Bottom