Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyombo vya habari vimekatazwa kuendelea kujumlisha matokeo kwa sababu ya udanganyifuWekeni updates jaman, imekuajeee?????
Acha uongo bhana, Ruto angekuwa "incumbent president" huenda ungekuwa sahihi, Ila Ruto ni mpinzani tu kwa sasa hana nguvu za kidola kufanya hayo.Media zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zote
mkuu hii habari yako chanzo chake ni kipi?Vyombo vya habari vimekatazwa kuendelea kujumlisha matokeo kwa sababu ya udanganyifu
Wa kuona aibu ni wewe kwa jambo ambalo mtoto wa class 3 hahitaji kurudia mara mbili kulielewa.
Hapo Kenya anayepata 50% ya kura, that means zilizobaki ni 50% zote ni kwa wagombea watatu waliobaki wazigawe. Kati yao hakuna wa kufikisha exactly 50%.
Huyo mwenye 50% anahitaji apate kura nyingine ya mtu mmoja ili awe amechaguliwa na zaidi ya nusu ya wapigakura. Tallying haijaisha nasubiri tume itoe matokeo mambo ya ramli hapana, wakitoka hapo wanaweza enda kortini. Au uchaguzi unaweza enda ngwe ya pili, sijui hakuwa mtazamaji
Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?Ni 50% plus one vote!
Ruto anapindua meza kibabe anyway my worry ni kuwa huenda kukatokea vurugu Mungu awavushe salama wakenya.....View attachment 2321652
Aisee haya ni maajabu
Usieneze uongoVyombo vya habari vimekatazwa kuendelea kujumlisha matokeo kwa sababu ya udanganyifu
Hii Ndio shida ya ukanda hata uwe mzuri namna gani kura zitagawanyika tu.Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%
Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
50% + Kura MOJA HALALI.Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
Pole naona umejaza vitu 'vingi' Kwenye ubongo wako! Vipunguze baadhi vinavyokushushia hadhi!Kwahiyo ××××××× mngetishika......sisi wengine mbona hatu tishiki hata angetembea uchi
MarudioTotal votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%
Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
Sheria inasema mshindi apate kura zaidi ya 50%50% + Kura MOJA HALALI.
Mfano
Total votes 121
Cand 1 amepata 61
Cand 2 amepata 60
Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
Usizunguke mbuyu Mkuu, leta majibu. Tunajua Kenya wanakatiba mpya na tume huru ya uchaguzi!Kwani Tanzania tumewahi kufanya uchaguzi mkuu
Kulingana na Katiba yao ni 50% + 1.Hebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
Kwa maelezo ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya, naona kutakuwa na second round but mseto sidhani kama Ruto atakubali huo ujinga.Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%
Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
Hawa si wana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!? Wanabinyaje tena huru wa kupata habari!?Vyombo vya habari vimekatazwa kuendelea kujumlisha matokeo kwa sababu ya udanganyifu