Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ww umemjua odinga mwaka huu? Tena kati ya mtu ambae hana pressure ni yeye, kapita vigingi vizito yeye na atwol mmiliki wa citizen walifungwa na daniel arap moi kipindi flani, yee hawezi pata stress na vitu Kama hivyo
acha uongo, atwol sio mmiliki wa citizen. mmiliki wa citizen tv ni samauel kamau macharia almaarufu SK Macharia kupitia kampuni yake ya royal media.

ulichoandika wewe ni uongo 100%.
IMG_20220812_080733.jpg
 
Hustler Ruto nipigie huyo babu mapema sana 👊👊👊👊
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
 
Back
Top Bottom