mbona mchuano unaelekea kwa Ruto? ras jeff kapitaKwa kifupi labda nikwambie ww na watu wengine wabishi kama ww. Security Details za Raila Odinga zimeongezeka watu wa usalama tayari wapo nae kumlinda Mr president ambao wanabisha Raila sio next president wapo nyuma sana kwa kukosa taarifa