Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wakuu, Tunakwenda round ya pili kwa takwimu hizi ?

Ruto 49.91% Raila 49.41%

Haka ka kipengelea ka 50% +1 kanamaanisha nini?

The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
 
Mshindi atatangazwa yule aliyefikisha 51% ya kura halali na pia lazima awe amejinyakulia viti vya majimbo visivyopungua 6 katika 24 vilivyopo. Kinyume na hapo refa anaita mpira kati mbungi inarudiwa .👊👊👊👊
 
Sema naona competition hapo babu versus hustler
 
"Wakalifanyie kazi", ni tafsida ya kuepusha maneno ya kutisha na ukali. Kimbembe ni je waambiwa hayo wanakumbuka mafunzo ya ya matumizi ya tafsida?
Kwahiyo mashoga mngetishika......sisi wengine mbona hatu tishiki hata angetembea uchi
 
Mshindi atatangazwa yule aliyefikisha 51% ya kura halali na pia lazima awe amejinyakulia viti vya majimbo visivyopungua 6 katika 24 vilivyopo. Kinyume na hapo refa anaita mpira kati mbungi inarudiwa .👊👊👊👊
hapana 50% ya kura zote halali zilizopigwa + one extra itatoa mshindi!
 
Mshindi atatangazwa yule aliyefikisha 51% ya kura halali na pia lazima awe amejinyakulia viti vya majimbo visivyopungua 6 katika 24 vilivyopo. Kinyume na hapo refa anaita mpira kati mbungi inarudiwa .👊👊👊👊
Ni 50% jumlisha kura 1
 
Mkuu huoni aibu?
Au mimi ndio sijakuelewa ?
Wa kuona aibu ni wewe kwa jambo ambalo mtoto wa class 3 hahitaji kurudia mara mbili kulielewa.

Hapo Kenya anayepata 50% ya kura, that means zilizobaki ni 50% zote ni kwa wagombea watatu waliobaki wazigawe. Kati yao hakuna wa kufikisha exactly 50%.

Huyo mwenye 50% anahitaji apate kura nyingine ya mtu mmoja ili awe amechaguliwa na zaidi ya nusu ya wapigakura. Tallying haijaisha nasubiri tume itoe matokeo mambo ya ramli hapana, wakitoka hapo wanaweza enda kortini. Au uchaguzi unaweza enda ngwe ya pili, sijui nakuwa mtazamaji
 
Tupate tangazo la wadhamini kidogo...
 
Attachments

  • FB_IMG_1660287642802.jpg
    FB_IMG_1660287642802.jpg
    32.5 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1660287668300.jpg
    FB_IMG_1660287668300.jpg
    18 KB · Views: 3
Back
Top Bottom