Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Wewe dini imeshakuharibu Mkuu, mbona yule alieshika nafasi ya mwisho ni mchungaji na hajafikisha kura 50,000 kazidiwa na yule anaehubiri bangi kila siku?....Uchaguzi huu MUNGU alitaka kuonesha ukuu wake,
Kituo alichopigia kura Raila kwa mbwembwe sana,
Ruto ameongoza kwa kura,
Kituo alichopigia kura mgombea mwenza wa Raila Martha Karua, Ruto ameongoza kwa kura,
Kituo alichopigia kura Rais Uhuru Kenyatta, Ruto ameongoza kwa kura,
Kituo alichopigia kura mke wa Rais Uhuru Kenyatta, Margaret Kenyatta, Ruto ameongoza kwa kura,
Kituo alichopigia kura mama yake Rais Uhuru Kenyatta, Mama wa Taifa la Kenya, Ruto ameongoza kwa kura!
MUNGU amelipa dharau, uonevu, manyanyaso na dhulma alizofanyiwa Mh. William Samoei Ruto!
Uchaguzi huu ni
MUNGU Vs shetani
Na inakulikana kuwa MUNGU hashindwi!
The chosen one
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanini Mungu asimame na RUTO ambae amefanya issue nyingi mbovumbovu Kama mauaji ashindwe kusimama na Mchungaji wake?
Kwahiyo Mungu yeye anashughulika na RUTO NA ODINGA , lakini hana mda na mtumishi wake?..
Mungu amesimama na RUTO mbona hajashinda uchaguzi sasa kwa kishindo? Mbona inaonekana Kama uchaguzi utarudiwa.
Ety MUNGU VS SHETANI.....Mimi naona ni 49% vs 49% kwahiyo Mungu anapelekeshwa na shetani akishinda odinga Mungu ameshindwa?
Ufikirie wakati mwingine ukiwa unaandika