Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hakuwa ibilisi ila alifinyangwa aonekane ibilisi!!

Niliwahi fanya kosa kama hilo nilitubu Baada ya KUJUA hasa nini kilifanywa na waliofanya wanajuta sasa hivi!!
Tafadhali umeweka skeleton notes aka summary je unaweza kuiongezea nyama sababu bado spinning kumuhusu huyu Bwana zimeteka vichwa vingi unaweza kunisaidia na mimi kutoka katika hisia hizo?
 
Tafadhali umeweka skeleton notes aka summary je unaweza kuiongezea nyama sababu bado spinning kumuhusu huyu Bwana zimeteka vichwa vingi unaweza kunisaidia na mimi kutoka katika hisia hizo?
de'levis

Wakati akikazana kujenga nchi badala ya Taifa!maamuzi yalifanyika garberon room number 26!

KIFUPI Baada ya kuonekana image yetu kimataifa utakuwa mbaya hasa misimamo yake kuhusu wawekezaji hao na corona virus!waliamua kuchonganishwa KWANZA na WANANCHI kabla ya process!!

Ndivyo nilivoelewa Mimi!KWA zile propaganda zilizomfanya tukamchukia zilitengenezwa!

Hivyo tu

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!
 
Uchaguzi huu MUNGU alitaka kuonesha ukuu wake,

Kituo alichopigia kura Raila kwa mbwembwe sana,
Ruto ameongoza kwa kura,

Kituo alichopigia kura mgombea mwenza wa Raila Martha Karua, Ruto ameongoza kwa kura,

Kituo alichopigia kura Rais Uhuru Kenyatta, Ruto ameongoza kwa kura,

Kituo alichopigia kura mke wa Rais Uhuru Kenyatta, Margaret Kenyatta, Ruto ameongoza kwa kura,

Kituo alichopigia kura mama yake Rais Uhuru Kenyatta, Mama wa Taifa la Kenya, Ruto ameongoza kwa kura!

MUNGU amelipa dharau, uonevu, manyanyaso na dhulma alizofanyiwa Mh. William Samoei Ruto!

Uchaguzi huu ni
MUNGU Vs shetani

Na inakulikana kuwa MUNGU hashindwi!

The chosen one

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia: Hilo nalo nendeni mkalitizame​

Hahahahaha, wakalitazame eeh? Aaaaahm, halafu nilitaka niengeze jambo moja...koh koh koh, mnisamehe kifua changu si kizuri leo...... aaaahm...aaaahm waziri Bashe upo? Hilo nalo ukalitizame.
Nilichokiona uchaguzi mkuu wa Kenya Samia ajiandae kurudi pemba akalime karafuu
 
Back
Top Bottom