Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kuna kila dalili Hali si shwari kwa Raila mtu ambaye rais Kenyata amekua akimpambania sasa kinachoendelea ni ujanja ujanja wamuengue Ruto ambaye ndiyo yaonesha ni chaguo la wengi

Huko kitanuka tu tusubirie

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hizi ni speculation zako binafsi tena unaegemea kwa yale matokeo ya TV ambayo yamepigwa stop.
 
Raila is calm and reserved on other hand Ruto is say and do things without well thinking about them. He supposedly said Raila is uncircumcised which was very disrespectfully, and childish. .
Kwani ni uongo ni kweli hajatahiriwa!
Au unataka aseme ametahiriwa wakati si kweli
 
Back
Top Bottom