kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
๐๐๐๐๐anachelewesha Mambo, wakati mbinu za kivita zinapatikana jirani tu hapa๐๐๐ Walahi nakublock!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐anachelewesha Mambo, wakati mbinu za kivita zinapatikana jirani tu hapa๐๐๐ Walahi nakublock!
Mbona umekasirika dogo?Jinga sana kijana. Unaongea pumba. Kumlinganisha Tundu lissu na ujinga huo. Achaa ujinga mara moja
Loooo no dropping of names!!!,address pls
Sema SKM ni rafiki wa Odinga.RMS yote ipo chini ya SKM
Tulia wewee๐๐๐๐๐anachelewesha Mambo, wakati mbinu za kivita zinapatikana jirani tu hapa
๐๐๐๐๐๐ Wanatuchelewesha. Wamtangaze tu mzee ya Kitendawili, watu walaleTulia wewee
Acha wachapane tutawauzia mahindiiii-JiweKuna kila dalili Hali si shwari kwa Raila mtu ambaye rais Kenyata amekua akimpambania sasa kinachoendelea ni ujanja ujanja wamuengue Ruto ambaye ndiyo yaonesha ni chaguo la wengi
Huko kitanuka tu tusubirie
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hizi ni speculation zako binafsi tena unaegemea kwa yale matokeo ya TV ambayo yamepigwa stop.Kuna kila dalili Hali si shwari kwa Raila mtu ambaye rais Kenyata amekua akimpambania sasa kinachoendelea ni ujanja ujanja wamuengue Ruto ambaye ndiyo yaonesha ni chaguo la wengi
Huko kitanuka tu tusubirie
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Leo utavuta hashish hadi kichwa kipasuke.Tulia wewee
Iwapo Ruto amesema hivyo hana heshima na hafai kuwa rais wa nchi nzuri ya Kenya.Raila is calm and reserved on other hand Ruto is say and do things without well thinking about them. He supposedly said Raila is uncircumcised which was very disrespectfully, and childish. .
Kwani ni uongo ni kweli hajatahiriwa!Raila is calm and reserved on other hand Ruto is say and do things without well thinking about them. He supposedly said Raila is uncircumcised which was very disrespectfully, and childish. .
Nzi wa kijani akili aitolee wapi?Jinga sana kijana. Unaongea pumba. Kumlinganisha Tundu lissu na ujinga huo. Achaa ujinga mara moja
Tohara ndio inaongoza nchi?Kwani ni uongo ni kweli hajatahiriwa!
Au unataka aseme ametahiriwa wakati si kweli
tayari wameshaanza kumpigia salaute?.Hapa ni hifadhi ya maiti ya Lee Funeral Home.., alikua ametoka kutazama maiti ya mtu mashuhuri.., sijui ni ya Moi ama Kibaki.,
View attachment 2321673
atwol anapenda sifa balaa, wakati wa covid lockdown aliwahi kuita band ya wacongo nyumbani wakamuimbia nyimbo za rumba huku wakitaja jina lake. yeye akawa anafurahi tu.Atwoli na ule mtumbo wake kama kifusi sijui ana hali gani huko.
Waaaapiiii? Ruto ndie rais๐๐๐๐๐๐ Wanatuchelewesha. Wamtangaze tu mzee ya Kitendawili, watu walale