Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karani eti eeh?We unajua nini? Kuchaguliwa ukarani wa sensa unajiona unajua?
Kuna mengi nyuma ya paziayawezekana asee. Niliwahi sikia baba yake na RAO mzee AMOLO ODINGA aliwahi achiwa nchi na mzee Jomo Kenyata alipokwenda ziara(matibabu) nje ya nchi asee mzee Jomo anarudi anakuta Amolo Odinga VP wake anapesa nyingi kiasi kwamba utajiri wa serikali ya Kenya na utajiri wa Amolo unatofautiana senti 6 tuu. Japo ni story za kwenye kahawa huwa siziamini ila jaluo ni watu wangu wa karibu kule kanda yetu maalum. Asee wale jamaa ukiwa unapiga nao mchongo au mishe yakupasa uwe macho sana. Unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia.
Wewe huwa wote tunakujua una matatizo ya akiliRais amegoma?? Tuondolee upumbavu wako hapa.
Kongamano ni la CCM, wewe Kama sio ccm linakuhusu nini? Si mlikuwa na upuuzi wenu shinyanga leo? Uliona Kuna watu wanahangaika nalo?Wanaleta habari za Tanzania ya Samia Kenya? Hebu ona yalivyo ya hovyo.
Elewa nachomaanisha kugoma haimaanishi aliyeshinda hatapata haki yakeHuyu huyu aliyetangazwa mshindi na bado watu wakaenda mahakamani uchaguzi ukarudiwa ndio kagoma matokeo kutangazwa?
Angalia ulivyo punguani, shinyanga inanihusu nini mimi?Kongamano ni la CCM, wewe Kama sio ccm linakuhusu nini? Si mlikuwa na upuuzi wenu shinyanga leo? Uliona Kuna watu wanahangaika nalo?
Nakubaliana na wewe kuhusu these people Jaluo,regardless they are from Kenya or that place Kanda ya ziwa.These people are very genius at manipulation and playing bad games.Hawa Jamaa sio mchezo naweza sema ndio genes Yao ilivyo Jamaa ni matapeli na wajanja hatari.yawezekana asee. Niliwahi sikia baba yake na RAO mzee AMOLO ODINGA aliwahi achiwa nchi na mzee Jomo Kenyata alipokwenda ziara(matibabu) nje ya nchi asee mzee Jomo anarudi anakuta Amolo Odinga VP wake anapesa nyingi kiasi kwamba utajiri wa serikali ya Kenya na utajiri wa Amolo unatofautiana senti 6 tuu. Japo ni story za kwenye kahawa huwa siziamini ila jaluo ni watu wangu wa karibu kule kanda yetu maalum. Asee wale jamaa ukiwa unapiga nao mchongo au mishe yakupasa uwe macho sana. Unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia.
Huna maisha wewe. Unakesha mtandaoni ku comment kwenye maisha ya watu. You are so GayAngalia ulivyo punguani, shinyanga inanihusu nini mimi?
Inawahusu watu wote wapumbavu, kwan lini umeacha kuwa mpumbavu?Angalia ulivyo punguani, shinyanga inanihusu nini mimi?
Na usiombe ukamtapeli mjaluo. Asee jamaa wanaujua uchawi wale. Kuna jamaa alimtapeli mjaluo akabadilisha betri kwenye gari yake asee jamaa alivimbishwa tumbo asee hadi akafa.Nakubaliana na wewe kuhusu these people Jaluo,regardless they are from Kenya or that place Kanda ya ziwa.These people are very genius at manipulation and playing bad games.Hawa Jamaa sio mchezo naweza sema ndio genes Yao ilivyo Jamaa ni matapeli na wajanja hatari.
Dar pale posta matapeli wengi wa michongo ya ma documents ni wao na wanapigaga pay ndefu sometimes alafu sio rahisi kuwafunga au kuwatia hatiani.
Halafu ntakufwata nikuchomoe kwenye hiyo semina ya sensa nikulambe makofi we msichana huna adabuInawahusu watu wote wapumbavu, kwan lini umeacha kuwa mpumbavu?
Mimi limekula kabando kanguNimetest kudownload file la Constituence moja ni 800 Mb nimecancel mapema [emoji38][emoji38]
Basi kama ni hivo kulikiwa na janja janja nyingi sana japo jana IEBC wenyewe walishasema kuwa wameanza kutangaza matokeo na leo kupitia KBC niliona wakisema IEBC watatangaza President mteule mda wowote! Ila nimeona kuna taarifa kuna Afisa mmoja wa IEBC ambae akirudisha matokeo tume amepotea kabla hajawasilisha matokeo.Taarifa ya jioni kutoka DW Swahili ni kuwa IEBC bado inahakiki form kutoka maeneo Bunge 290 hadi Leo jioni ni maeneo Bunge 14 tu yalikuwa yamisha hakikiwa.So,hayo matokeo mnayayaona mtandaoni kuwa IEBC imisha hesabu kura 74% probably ni fake na kuna uwezakano matokeo yasitangazwe ndani ya siku 7 za kikatiba toka kufanyika kwa uchaguzi.
Tayari mtu amepotea huko; na hii tuige pia.
Na ziko constituencies 292Nimetest kudownload file la Constituence moja ni 800 Mb nimecancel mapema [emoji38][emoji38]
Chebukati amesema adi kufikia saa 20: 17 Form 34B zilikuwa zilizowasilishwa Tume ni 215 kati ya 291 sawa na 73.88%! Kwaiyo kile nilicholeta ni sahihi kabisaTaarifa ya jioni kutoka DW Swahili ni kuwa IEBC bado inahakiki form kutoka maeneo Bunge 290 hadi Leo jioni ni maeneo Bunge 14 tu yalikuwa yamisha hakikiwa.So,hayo matokeo mnayayaona mtandaoni kuwa IEBC imisha hesabu kura 74% probably ni fake na kuna uwezakano matokeo yasitangazwe ndani ya siku 7 za kikatiba toka kufanyika kwa uchaguzi.
Hao pro Odinga hao 🤣🤣🤣Chebukati amesema adi kufikia saa 20: 17 Form 34B zilikuwa zilizowasilishwa Tume ni 215 kati ya 291 sawa na 73.88%! Kwaiyo kile nilicholeta ni sahihi kabisa