MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Bwana Ledama Olekina huyohuyu alievaa rubega ya kimasai mbona anajiamini sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Ledama Olekina huyohuyu alievaa rubega ya kimasai mbona anajiamini sana..
Hajafika tuu BomasHuyu hapa akijongea Bomas
YesRuto yupo BOMAS?
Wanapigana sana hapa, tumetolewa njeBomas panatulizwa kwanza
Maafisa wa tume ya uchaguzi. Makamishna wanne. Naibu na wenzake. Upande unaotaka ktangaza matokeo wapo makashna 3 na upande unaopinga matokeo wapo 4. Patamu hapa!Unamaanisha maafisa wa tume ama mawakala wa Odinga?
Bado upo?Unamaanisha maafisa wa tume ama mawakala wa Odinga?
Ni mbunge pia nadhani,Bwana Ledama Olekina huyo
Bado upo?Unamaanisha maafisa wa tume ama mawakala wa Odinga?
Walishawahi kuzichapa hawa so wanaheshimiana...mpaka The Hague walishafika. Naona ni waangalifu kidogo!