Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kama mwenyekiti amejitoa makamu wake na wenzake wawili wanaweza kuwa na jurisidiction ya kutangaza matokeo?Chibukati naye hajakata tamaa, mshindi atatangazwa tu hata kwa kung fu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwenyekiti amejitoa makamu wake na wenzake wawili wanaweza kuwa na jurisidiction ya kutangaza matokeo?Chibukati naye hajakata tamaa, mshindi atatangazwa tu hata kwa kung fu
Ruto ndio kashinda, sio Chebukati kapokea hela, uwe na adabuHahaha hawa lazima wapigane tu, chebukati kapokea mlungula analazimisha kumtangaza ruto, maafsa wenzake wameamua kuzingua.
Hii hali ni ya hatari ,yaani wapishi wenyewe washaanza kulalamika, wakati wao ndio walio simamia hayo mapishi.Chibukati naye hajakata tamaa, mshindi atatangazwa tu hata kwa kung fu
Sasa kama angekua kashinda kihalali kwanini makamu wake amezingua? Kwanini tume imegawanyika?Ruto ndio kashinda, sio Chebukati kapokea hela, uwe na adabu
Acha kumwingiza Jk hapa wewe bwegeOdinga kaingizwa chaka na Mhuni Kenyata. Naona Kenyata kaazima akili za JK.
Chibukati hajajitoa yuko Boma ,labda kama yupo under pressure.Kama mwenyekiti amejitoa makamu wake na wenzake wawili wanaweza kuwa na jurisidiction ya kutangaza matokeo?
Mkuu ulihesabia wapi hizo kura na kuthibitisha kuwa Ruto ameshinda?Ruto ndio kashinda, sio Chebukati kapokea hela, uwe na adabu
Kama ameshinda kwa nini hajawasili Bomas?.INAVYOONEKANA RAILA ODINGA AMESHINDA LAKINI WANATAKA KUMTANGAZA RUTO, NDIO MAANA HAO MAAFSA WAMEAMUA KUZINGUA, MAANA KUNA JANJA JANJA INAENDELEA
Mwenyekiti amebaki na makamishina 2 ,watatu pamoja na msaidizi wake wamejitenga.Maafisa wa tume ya uchaguzi. Makamishna wanne. Naibu na wenzake. Upande unaotaka ktangaza matokeo wapo makashna 3 na upande unaopinga matokeo wapo 4. Patamu hapa!