joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mambo ambayo chama inasimamia inategemeana na hali ya siasa katika kipindi husika,unataka kusema mabovu mangapi ambayo CDM imeyafanya ni mengi kuliko tyliyafanya toka 1961????.
Ukweli ni kuwa Upinzani Tanzania unakosa support ya Wananchi na hiyo hali ya Wananchi kuugopa kupigania hali zao inatokana na mfumo mbovu ambayo nyerere aliuweka nothing less.
So kwa kuwa CCM imefanya mabovu kwa mda mrefu ,basi CHADEMA nae akifanya mabovu ni sawa sasa hayo mabadiliko yana hitajika ya nini wakati hamna utofauti na ndio maana 2015 zilikuwa zina shindana CCM A na CCM B.Mambo ambayo chama inasimamia inategemeana na hali ya siasa katika kipindi husika,unataka kusema mabovu mangapi ambayo CDM imeyafanya ni mengi kuliko tyliyafanya toka 1961????.
Ukweli ni kuwa Upinzani Tanzania unakosa support ya Wananchi na hiyo hali ya Wananchi kuugopa kupigania hali zao inatokana na mfumo mbovu ambayo nyerere aliuweka nothing less.
Kutokupata support kusababishwa na wenyewe kwa kukosa kwao msimamo.