Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mambo ambayo chama inasimamia inategemeana na hali ya siasa katika kipindi husika,unataka kusema mabovu mangapi ambayo CDM imeyafanya ni mengi kuliko tyliyafanya toka 1961????.

Ukweli ni kuwa Upinzani Tanzania unakosa support ya Wananchi na hiyo hali ya Wananchi kuugopa kupigania hali zao inatokana na mfumo mbovu ambayo nyerere aliuweka nothing less.

So kwa kuwa CCM imefanya mabovu kwa mda mrefu ,basi CHADEMA nae akifanya mabovu ni sawa sasa hayo mabadiliko yana hitajika ya nini wakati hamna utofauti na ndio maana 2015 zilikuwa zina shindana CCM A na CCM B.

Kutokupata support kusababishwa na wenyewe kwa kukosa kwao msimamo.
 
Mkuu ukiwa Rais katika Nchi za Africa huwezi shindwa jambo,yani nawe unaamini kabisa kama angetaka kumua Ruto angeshindwa?
Ndio anashindwa mbona Magufuli alimshindwa lissu na lissu alikuwa mbunge tu,kumbuka huyu alikuwa makamu wake wa rais,yuko ndani ya serikali kila kinachofanyika anakifahamu, hivyo kumzuru ilikuwa sio laisi.
 
Issue ulisema ukiwa raisi ukitaka kuiba hutashindwa ndio nikakutolea mfano wa Edgar lungu mbona alishindwa.

Kuua mtu mkubwa Kama Ruto sio raisi na inaweza kushindikana mifano ipo na unaijua.

Kusema alikuwa anataka kuzuga ili Ruto apate uraisi ni uongo. Kwani odinga hii ni mara ya kwanza kugombea uraisi? Siku zilizopita mbona maraisi hawakushirikiana na odinga ili kumzuga Kama unavyosema??
Mkuu nadhani hapa tunashindwa kuelewana, UhuRuto walikuwa na makubaliano ya kuachiana kiti, ukitoka wewe niunge mkono niingie mimi.

Sasa katika kutekeleza hilo ili kuwazuga Wakenya inabidi Ruto awe kama yupo nje ya serikali na aonekane ndio tumaini. Wakati huo Uhuru anamvuta ndani Raila na anajifanya kushirikiana nae kwenye mambo mengi, Raila anaingia kichwa kichwa na hapo anakuwa sehèmu ya serikali na anakuwa sehemu ya changamoto.

Wakati Ruto anaonekana mkombozi maana ni kama yupo nje ya serikali kwakuwa haelewani na Boss wake, Raila anajipalia makaa na kuwa sehemu ya serikali ambayo wakenya wanaamini imefeli na imepandisha gharama za maisha.

Hapo huoni Raila yupo matopeni na Ruto ni msafi?

Kuhusu kuua mkuu naomba tuliachie hapo.
 
IMG-20220815-WA0068.jpg
 
Hii nadharia ni ya uongo.

Raila sio mara ya kwanza kushindwa uchaguzi, kwa nn yafanyike yote hayo ili kumshinda raila?

Alafu pia unajichanganye mweyewe, ulisema pia raisi akiamua kuiba kura na kumpa ushindi anayemtaka anaweza. Sasa Kama alikuwa anamtaka ruto, hayo sijui ya kwenda kumzuga yalikua ya nn?
 
Sio kweli. Kuna muda ukifika hata ufanyaje watu watakukataa, Uhuru amefanya kila mbinu na ameshindwa.

Ingekua rahisi hivyo leo hii kule Zambia Hichilema asingekua raisi kwa sababu Lungu alikua ameshika system yote
Labda tu nilisahau kuelezea exceptional IPO kama mtawala hatakiwi na RAIA,na RAIA wenyewe wakaamua kuingia front vinginevyo aliyopo madarakani ana 99% Ku dictate nani amuachie kijiti.
 
Mkuu ukiwa Rais katika Nchi za Africa huwezi shindwa jambo,yani nawe unaamini kabisa kama angetaka kumua Ruto angeshindwa?
Bosi unamfahamu Ruto?
Ukisikia hasla elewa ni hasla. Anaweza kuku injinia ushindi au anguko lako. Angalia historia yake ktk chaguzi za Kenya na upande anaokuwa yeye. Hebcan play dirty game. He can plan dirty, he knows dirty, dirty is his middle name. Na Nina shangaa Ruto ku act calm. Naamini alishajua mapema ushindi wake laiti angejua kuwa ameshinda then anafanyiwa rafu Ruto ange indirectly instigate problem
 
Hii nadharia ni ya uongo.

Raila sio mara ya kwanza kushindwa uchaguzi, kwa nn yafanyike yote hayo ili kumshinda raila?

Alafu pia unajichanganye mweyewe, ulisema pia raisi akiamua kuiba kura na kumpa ushindi anayemtaka anaweza. Sasa Kama alikuwa anamtaka ruto, hayo sijui ya kwenda kumzuga yalikua ya nn?
Kuiba kura na kumuachia Nchi rafiki yako ingetengeneza hali ya hatari, Wakenya sio Kondoo.

Ujanja wa Ruto kujifanya mpinzani ndio ulikuwa na afya zaidi.

Raila angeendelea na sura ya upinzani na akawa na Musyoka kama mgombea mwenza na akina Mudavadi na Ruto akaungwa mkono na Uhuru, Ruto angepoteza huu uchaguzi na tofauti ya kura ingekuwa kubwa. UhuRuto wangelazimika kufanya wizi na hapo ndio moto ungewaka.

Hii ya Ruto kuwa mpinzani imefanya mambo yaonekane tofauti.

Yote kwa yote hii ni nadharia tu,tutakuja kujua ukweli wa mambo hapo baadae.
 
Labda tu nilisahau kuelezea exceptional IPO kama mtawala hatakiwi na RAIA,na RAIA wenyewe wakaamua kuingia front vinginevyo aliyopo madarakani ana 99% Ku dictate nani amuachie kijiti.
Hapa umeanza kuelewa sasa.

Kenyatta hakutaka kabisa kumuachia ofisi Ruto, angeweza kumuunga mkono ruto wala usingekua ajabu kwa kuwa ni mtu na naibu wake. Ila kwa kuwa ealishakua maadui wakubwa, Kenyatta Mara nyingi tu alitafuta namna kumuondoa ruto, Ila akashindwa.

Kenyatta huyu na BBI yake mbona alishindwa, Kama kweli alikua na hizo nguvu kiasi hicho
 
Kuiba kura na kumuachia Nchi rafiki yako ingetengeneza hali ya hatari, Wakenya sio Kondoo.

Ujanja wa Ruto kujifanya mpinzani ndio ulikuwa na afya zaidi.

Raila angeendelea na sura ya upinzani na akawa na Musyoka kama mgombea mwenza na akina Mudavadi na Ruto akaungwa mkono na Uhuru, Ruto angepoteza huu uchaguzi na tofauti ya kura ingekuwa kubwa. UhuRuto wangelazimika kufanya wizi na hapo ndio moto ungewaka.

Hii ya Ruto kuwa mpinzani imefanya mambo yaonekane tofauti.

Yote kwa yote hii ni nadharia tu,tutakuja kujua ukweli wa mambo hapo baadae.
Uhuru na ruto ni marafiki? Nani alikueleza makamu ni rafiki wa raisi? Uhuru aliungana na ruto kwa kuwa nguvu ya ruto aliyonayo. Na Kama ulikua hujui ruto na odinga ndio marafiki

Kumuunga mkono naibu wako kugombea ingeleta hatari? Hatari inatoka wapi ikiwa system yote ipo chini yake kama.ulivyosema?
 
Ni kweli Ruto na Odinga ni marafiki kitambo sana,ila muda utafika tutaelewa tu kipi kilichokuwa nyuma ya pazia.
 
Unakumbuka BBI? Ilihusu nini? UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU.

Umesikiliza hotuba ya Ruto Leo? Amesema amewasamehe! Yaani hapo kamsamehe Uhuru kwa usaliti aliomfanyia!.
 
Back
Top Bottom