Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ruto ametumia uzoefu wake wa kuwa serikalini kuiba kura
Wakatumia kiini macho cha bandika mtandaoni kura za udanganyifu

Kenyatta mlevi hata hakuwa anafanya briefing za maendeleo ya uchaguzi akamuachia chebugati aliyepewa mablion ya pesa na kambi ya ruto

Haki itendeke uchaguzi urudiwe
 
Usifananishe ulevi na vitu vya ajabu ajabu kama unavofanya wewe vya ki uasherati
 
Ukisoma statement za Odinga na hao maafisa wanne wa IEBC unaona zote zina quote kitu kimoja, na zote zimeandikwa na mtu mmoja Prof. Makau Mutua, lakini walipojichanganya zaidi maafisa vipenyo wa IEBC ni kwenye suala la kuzidi kwa asilimia eti wanasema total percentage inakuja 100.01% kwa hiyo ukichukua 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa sawa na kura 140,000 ambazo wanaona zimeenda ndivyo sivyo, Huu ni upuuzi wa hali ya Juu wameshindwa kujua kuwa 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa na kura 1,400. Tofauti hiyo haiwezi ku nullfy matokeo hata mahakamani kwa hesabu zao za kijinga walijua ni kura 140,000, Odinga akubali kushindwa amezungukwa na watu wenye uwezo mdogo kisiasa na kiakili.

RUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%

TOTAL = 99.999999999999977%
 
Mipaka ya kaunti 47 za Kenya 🇰🇪

1660656988337.png
 
Back
Top Bottom