Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Nipo mwenyewe naiangalia itakuaje ila naona haina mvuto wanasukumana tu ufundi sioni
 
Tuliwatania Yanga kwamba tupo seroius na hii game bas wakachukulia kwel bhana....legezen bas
 
matokeo yakibaki hivi hivi mpaka dk 90 itakuwaje ?, utaongezwa muda au matuta ?
Hili bonanza lina taratibu zake na wanazijua wenyewe wapemba. Usishangae wakasema tunaenda kwanza forodhani kula urojo then tunapiga tisini zingine.
 
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA

Dk 89, Mavugo anaingia na kuachia shuti hapa, lakini shuti mtoto

Dk 88, Muzamiru anaingia vizuri lakini shuti lake linakuwa halina nguvu, Dida anadaka
 
Hivi kweli tumeshindwa kuifunga timu mbovu ya yanga kwa dk zote 90 ?
 
Back
Top Bottom