Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Hivi tunaposhabikia hizi timu Simba na Yanga, ni mpira wanaocheza au desturi/mazoea?

Sioni mpira wowote unaochezwa ila pigapiga tu!!
 
Uwiiiiiii uwiiiiiii nakufa jamani!
Najuta kwanini sijala mpaka sasa hivi!
Sijui....labda Mungu tu atusaidie.
Mh bora ushindwe kula ili uishi ila nkisikia umeukata kwa presha ntasikitika sana kupoteza nguvu kazi ya taifa
 
Back
Top Bottom