Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

SUB Dk 85 Simba wanamwingiza Mavugo kuchukua nafasi ya Mo Ibrahim aliyeumia
 
Nipo mwenyewe naiangalia itakuaje ila naona haina mvuto wanasukumana tu ufundi sioni
 
OKW BOBN SUNZ KALALA MBELE, UPDATE BADO IPO DK YA 6 SIJUI ANACHEK RUNINGA UP SIDE DOWN?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tanesco wamesepa na kijiji halafu katechno kamekata chaji hana la kufanya
 
Tuliwatania Yanga kwamba tupo seroius na hii game bas wakachukulia kwel bhana....legezen bas
 
matokeo yakibaki hivi hivi mpaka dk 90 itakuwaje ?, utaongezwa muda au matuta ?
Hili bonanza lina taratibu zake na wanazijua wenyewe wapemba. Usishangae wakasema tunaenda kwanza forodhani kula urojo then tunapiga tisini zingine.
 
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA

Dk 89, Mavugo anaingia na kuachia shuti hapa, lakini shuti mtoto

Dk 88, Muzamiru anaingia vizuri lakini shuti lake linakuwa halina nguvu, Dida anadaka
 
Hivi kweli tumeshindwa kuifunga timu mbovu ya yanga kwa dk zote 90 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…