Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda fb watoto wenzio wanakusubiri kule, huku kwa watu wazima yatakushindaMjinga wewe mwenyewe
Wewe mtu mzima hovyoNenda fb watoto wenzio wanakusubiri kule, huku kwa watu wazima yatakushinda
Matokeo umepata wapi haya??Simba 3 yanga 0
ft
Nani kakoswa ?Asante Mungu! Tumekoswakoswa hapa daaaaah!
Eeeh Mungu saidia jamani! [emoji120] [emoji120]
Hahahahahaa.... pole jamani. Mbona unatia huruma hivyo??Asante Mungu! Tumekoswakoswa hapa daaaaah!
Eeeh Mungu saidia jamani! [emoji120] [emoji120]
Mwache Mungu ashughulike na balaa la njaaAsante Mungu! Tumekoswakoswa hapa daaaaah!
Eeeh Mungu saidia jamani! [emoji120] [emoji120]
Simba nawaona wamekosa goal la waziri aaaarghHakika watafungwa Mkuu [emoji5] [emoji5]
Hii si kitu ya kuuliza kabisaWanasimba Leo lazima tushangilie
Kwa mwendo huu watapigwa tuMikia wamepaki basi