Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajamvi hakuna app yakucheck game online, manake Niko mbaliLeo ni nusu fainali iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba.
Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Kimuhemuhe ni kikubwa sana kwa mashabiki wa Simba kutokana na rekodi ya timu yao.Mashabiki wengi wa Simba wamepanda boti kuelekea Zenji kwa ajiri ya kuipa nguvu timu yao. Kwa upande wa Yanga mashabiki wamebaki kulaumiana kutokana na kumbukumbu mbaya ya Kipigo cha "Mama mkanye Mwanao" ilichopokea vizuri kwa roho safi toka Azam FC
Mtangazaji wenu nitawaletea moja kwa moja matumikio muhimu kabla,wakati wa mechi na baada ya mtanange
Usiondoke
Updates
Moira umeanza,Dk 6 Simba 0 Yanga 0
haaaaaaaaaaaaaaaaa.Wamehodhi kama faru John au!!??
Bado wana stress ya kitu kinaitwa 4G.Yanga wanaharibu mpira kwa butua butua
HakunaWanajamvi hakuna app yakucheck game online, manake Niko mbali
Kama kawaida mkuu hapa tunasubiri ushindi tu kwa namna yeyote ile.Mnyama Kanyaga hao yanga goli moja tu.
Kama kawaida mkuu hapa tunasubiri ushindi tu kwa namna yeyote ile.Mnyama Kanyaga hao yanga goli moja tu.
Mimi wala sitaki magoli mengi sijui 4g....me nataka tumrarue kamoja tu mpka kamasi zimtoke.Kama kawaida mkuu hapa tunasubiri ushindi tu kwa namna yeyote ile.