Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Mnyama hebu fanya usiku wangu uwe mwanana,kwa kunipigia hao yebo fc.
 
Naona YeboYebo Wameshaanza Kujifunga Pampers Manake Kuharisha Leo Kwao Haiepukiki...
[emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ulimi uliponza kichwa,angalia msing'oe viti hata huko,mchezo huu unahitaji uvumilivu,Mikia FC mnahitaji kuwa na dawa ya usingizi Karibu kwani bila hiyo usiku wa leo utakuwa ni mrefu sana kwenu!!
 
Wakuu radio gani inatangaza, mpaka sasa natune sehemu mbalimbali ila bado sijasikia matangazo LIVE.

Au mida bado?
 
Back
Top Bottom