mkunga4546
Member
- Sep 17, 2014
- 44
- 21
Leo simba atahama porini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wamejaaa kushuhudia kambumbu ya Simba
Yanga wamekuja kikamilisha starehe ye Simba tuIna maana simba wamo uwanjani peke yao?
Washabiki wa thimba mna kelele leo, mkifungwa tu mnapotea woteYanga wamekuja kikamilisha starehe ye Simba tu
Eti nini?Mnyama kakoswa koswa
Gooooli kikiYanga wanatenga nje kidogo ya 18
Tupia kapicha basi mkuu au unasikiliza kwenye radio.Leo ni nusu fainali iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba.
Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Kimuhemuhe ni kikubwa sana kwa mashabiki wa Simba kutokana na rekodi ya timu yao.Mashabiki wengi wa Simba wamepanda boti kuelekea Zenji kwa ajiri ya kuipa nguvu timu yao. Kwa upande wa Yanga mashabiki wamebaki kulaumiana kutokana na kumbukumbu mbaya ya Kipigo cha "Mama mkanye Mwanao" ilichopokea vizuri kwa roho safi toka Azam FC
Mtangazaji wenu nitawaletea moja kwa moja matumikio muhimu kabla,wakati wa mechi na baada ya mtanange
Usiondoke
Updates
Moira umeanza,Dk 6 Simba 0 Yanga 0
Angalia usije kununa mwisho wa mchezo.Simba anatutingishia mkia vizuri muda sio mrefu atakubali
Mkuu wanaanzaje sasa kutoa tambo[emoji4] [emoji4]Mbona wazee wa 4G siwaoni wakitoa tambo?