Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Leo ni nusu fainali iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba.
Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

Kimuhemuhe ni kikubwa sana kwa mashabiki wa Simba kutokana na rekodi ya timu yao.Mashabiki wengi wa Simba wamepanda boti kuelekea Zenji kwa ajiri ya kuipa nguvu timu yao. Kwa upande wa Yanga mashabiki wamebaki kulaumiana kutokana na kumbukumbu mbaya ya Kipigo cha "Mama mkanye Mwanao" ilichopokea vizuri kwa roho safi toka Azam FC

Mtangazaji wenu nitawaletea moja kwa moja matumikio muhimu kabla,wakati wa mechi na baada ya mtanange

Usiondoke

Updates
Moira umeanza,Dk 6 Simba 0 Yanga 0
Wanajamvi hakuna app yakucheck game online, manake Niko mbali
 
Mnyama oyeee!
Kama kawaida tunamraruararua mtaalam wa 4G
 
Back
Top Bottom