Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Tulia leo kuna big match wewekiboko yenu tumeshamtandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia leo kuna big match wewekiboko yenu tumeshamtandika
Ingekuwa Yanga 5-3 APRApr kivipi wakati wangekuwa yanga 3 - apr 2 sasa Apr angepitaje hapo?
Magoli ya ugenini yanaanza kuhesabiwa kama mmelingana idadi ya magoliHapana, ingeenda Extra Time
Na kiboko ya Simba ni nani ?Simba 2 kibogo ya vyura fc 0
a,b,c woteNa kiboko ya Simba ni nani ?
a.Tambwe
b.Ngoma
c.Busungu
Mkuu Umesahau ileNa kiboko ya Simba ni nani ?
a.Tambwe
b.Ngoma
c.Busungu
Utakufa na roho yako mbaya mkuu. Yanga lazima asonge mbeleKaka gemu ikiendelea hivi yanga watakula nyingi.. Ila tusiwaombee mabaya.
Utakufa na roho mkononi na chuki zako hizoYanga hata wacheze na Bokoharamu nashabikia Bokoharamu. Wangetolewa ningefurahi na kujichinjia kambuzi
Mbaya na kule majuu ukiwa hauipendi fc barc aisee utakuwa na wakati mgumu sana poleYanga hata wacheze na Bokoharamu nashabikia Bokoharamu. Wangetolewa ningefurahi na kujichinjia kambuzi
Mimi hao Barca nilikua nawachukia, lakini nimeona tu niwapende hivyo hivyo maana mwishowe mtu unaweza kuumwa ulcers kwa kuwachukia.Mbaya na kule majuu ukiwa hauipendi fc barc aisee utakuwa na wakati mgumu sana pole
Buyerb alifuzu kwa kuwa na magol mengi ya ugenini, japokuwa aggregate ililkuwa 3:3Tukumbushane unakumbuka asernal alifungwa na buryn 3_1 nyumbani kwa na aseno akampiga buyrn 2_0 lakini afuzu buryn kwa nini?
Umenikumbusha wale UKAWA kule siasa eti nampenda sana magufuli ila tatizo mfumo teh haya pole mkuuYanga wanapoteza tu pesa na muda. Natamani kweli wafike mbali, mimi ni mzalendo. Najua watapita kwa APR lakini, mwisho wao utakua hatua inayofuata atatolewa tu na waarabu..it is given watafungwa. Yaani natamani siku itokee wawatoe hawa waarabu hata kwa bahati mbaya lakini sidhani labda mwaka 2090 hili litatokea.
We si upo taifa? Lete news maana uko ki mchangani zaidiwakimataifa washapigwa kamoja dakika ya tatu..
Wamemgomea azam kuirusha mechi yao live
APR..1: 0 Yanga..
Goli lilifungwa dakika ya tatu
....dakika ya 28
Ngoma anasawazisha ..
Yanga 1:1kagame.