Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

LAKINI YANGA TIMU YANGU MNAFANYA MAKOSA. KWANINI MZUIE MPIRA KUONESHWA LIVE? VIONGOZI TAFAKARINI MUACHE HAYO MAMBO YA KIZAMANI YA UTEMI NA KUFANYA MAAMUZI YA KUUMIZA WATU WOTE TZ NA KWINGINEKO.
 
Mpira umeisha!, wakimataifa wanaendelea kukwea pipa, wapi Nifa, si unajua Yanga akicheza Mimi mapenzi Tele kwako!.
 
Bado kuna viongozi pumbavu kiasi hiki?

Viongozi wa Yanga waliozuia mechi kurushwa watakuwa wajinga sana.

Dunia ya leo ya sayansi na teknolojia wanafanya maamuzi yakijinga namna hiyi!

watu hao hawajitambuwi na hawajuwi kazi yao.
 
Kina karigo hakuna kitu misifa tu
 
Back
Top Bottom