Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Aisee hata mi yalinikuta ha ha haMimi hao Barca nilikua nawachukia, lakini nimeona tu niwapende hivyo hivyo maana mwishowe mtu unaweza kuumwa ulcers kwa kuwachukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hata mi yalinikuta ha ha haMimi hao Barca nilikua nawachukia, lakini nimeona tu niwapende hivyo hivyo maana mwishowe mtu unaweza kuumwa ulcers kwa kuwachukia.
Walioko taifa ni simba tu, hawawezi leta updatesLETENI MATOKEO MLIOKO TAIFA NDUGU
yanga wamepita 1: 1 mpira umeoshaWalioko taifa ni simba tu, hawawezi leta updates
Thread ya kuhusu yanga na APR lakini yanaletwa matokeo ya simba na costal .Walioko taifa ni simba tu, hawawezi leta updates
Acha uoga bhanadah round ijayo tunatoka aisee
Kwani nyie si wamchangani mkuu?[emoji23]dah round ijayo tunatoka aisee
hivyo hivyo tutafanyaje sasaKwani nyie si wamchangani mkuu?[emoji23]
Hawendi mbali, watatoka tu ili roho yangu isuuzike.Mbaya na kule majuu ukiwa hauipendi fc barc aisee utakuwa na wakati mgumu sana pole
Mkuu pamoja na ushindi wote wa mchangani roho haijasuhuzika tu[emoji23]Hawendi mbali, watatoka tu ili roho yangu isuuzike.
Eti yanga iwe sawa na Barcelona...!
Kina karigo hakuna kitu misifa tuBado kuna viongozi pumbavu kiasi hiki?
Viongozi wa Yanga waliozuia mechi kurushwa watakuwa wajinga sana.
Dunia ya leo ya sayansi na teknolojia wanafanya maamuzi yakijinga namna hiyi!
watu hao hawajitambuwi na hawajuwi kazi yao.